David Kafulila: Miaka 60 hekta 500,000 za umwagiliaji miaka 4 ya Rais Samia hekta mpya 400,000

Mama Mitano tena
 
Hayo Masha ni ya serikali au ya S100 au ya watu binafsi
 
Mr chawa tumbili
 
Waambie ukweli Hawa machawa uchwara hawajitambui kabisa!
 
Mbona hoja za kitoto, umwagiliaji huenda na maendeleo ya tekinolojia, wakati wa Nyerere dunia ilikuwa na umwagiliaji wa mitaro tu, leo sola na ndegenyuki vinatumika.
 
Hiyo miaka 60 Nyani ndio walikua wakiongoza? Atueleze kwanini miaka 64 Hekari 900,000 niaibu hata kusema kwakua sisiemu imekua madarakani kwawakati wote? Hayo huwezi kuyaita mafanikio at least angekua anaongelea Hekari 9,000,000 ina make sense kuongea mambo mengi haimaanishi kusema ukweli lazima ifike wakati tuchambue haya mambo anayoyasema ila kimsingi sisiemu imelifelisha sana hili Taifa hakuna chakujivunia ukitazama rasilimali zilizotumika madeni tuliyokopa haviendani na kiwango cha maendeleo tuliyonayo
 
Hujui dunia na nchi ilipitia changamoto zipi za kiuchumi miaka ya 1970-1990's.hujui nchi ilipigana vita dhidi ya Idd Amin? Somo la historia ulikuwa unalisoma kwa kukariri ili upate maksi?
 
Praise and worship team.
Wa zamani kule NCCR alikuwa Kafulila kweli, huyu wa sasa ni Kafulia
 
Ni binadamu ila sio Samia
 
Ni kweli, maana hata Ardhi ya Tanzania inaongezeka ukubwa, tunapata maeneo mapya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…