Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Mara nyingi nakutana na habari za kisiasa zinazosemwa na David Kafulila, nijuavyo huyu ni mteule wa Rais asimamie taasisi ya serikali, nijuavyo hawa wateule ni tofauti na na Mawaziri ambao wanaanza kuwa na koti la ubunge yaani uanasiasa.
Hawa wa taasisi za umma si wanasiasa na kanuni za utumishi haziwaruhusu kufanya siasa japo huyu Kafulila yeye hufanya siasa.
Anayejua kipengele kinachomruhusu afanye siasa naomba anieleweshe.
Hawa wa taasisi za umma si wanasiasa na kanuni za utumishi haziwaruhusu kufanya siasa japo huyu Kafulila yeye hufanya siasa.
Anayejua kipengele kinachomruhusu afanye siasa naomba anieleweshe.