Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
SASA UNAUTENGANISHAJE UTUMISHI WA UMMA NA SIASA?Mara nyingi nakutana na habari za kisiasa zinazosemwa na David Kafulila, nijuavyo huyu ni mteule wa rais asimamie taasisi ya serikali, nijuavyo hawa wateule ni tofauti na na maeaziri ambso wanaanza kuwa na koti la ubunge yaani uanasiasa, hawa wa taasisi za umma si wanasiasa na kanuni za utumishi haziwaruhusu kufanya siasa japo huyu Kafulila yeye hufanya siasa, anayejua kipengele kinachomruhusu afanye siasa naomba anieleweshe.
Kuteuliwa na mwana siasa kunampa kibali mtumishi wa umma kufanya siasa?Si mwanasiasa, ila ameteuliwa na mwanasiasa
Ana ID nyingi anajitejenya na kujichekesha.nwenyewe kwa ID tofauti tofautiKafulila hajawahi kuacha utoto, amejaza machawa humu JF. Yaani wanaume wazima kazi yao kumlamba miguu mwanaume mwenzao.
ameipenda CCM iliyomwokoa kutoka kwenye husslingKuteuliwa na mwana siasa kunampa kibali mtumishi wa umma kufanya siasa?
Anatumia Cheo Cha Utumishi wa Umma Cha Kamishna wa PPP kujibu brand Kisiasa.Mara nyingi nakutana na habari za kisiasa zinazosemwa na David Kafulila, nijuavyo huyu ni mteule wa Rais asimamie taasisi ya serikali, nijuavyo hawa wateule ni tofauti na na Mawaziri ambao wanaanza kuwa na koti la ubunge yaani uanasiasa.
Hawa wa taasisi za umma si wanasiasa na kanuni za utumishi haziwaruhusu kufanya siasa japo huyu Kafulila yeye hufanya siasa.
Anayejua kipengele kinachomruhusu afanye siasa naomba anieleweshe.
Anawashwawashwa.Anatumia Cheo Cha Utumishi wa Umma Cha Kamishna wa PPP kujibu brand Kisiasa.
Sijaelewa ikiwa yeye ndio wa kwanza kushika hicho Cheo au ikoje.
Sikujua kuwa mkurugenzi wa wilaya ya Masasi ni mwanasiasa, hongereni kwa upendeleo huo.SASA UNAUTENGANISHAJE UTUMISHI WA UMMA NA SIASA?
KAFULILA NI MKURUGENZI KAMA ALIVYO MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA MASASI