TrioNeTwork
JF-Expert Member
- Aug 7, 2022
- 528
- 414
Hoja yako ni kweli, Wanaume ni upigaji kwenda mbele
Rank Country % of Women in Parliament Global rank 1 Rwanda 61.3% 1st 2 Senegal 46.1% 11th 3 South Africa 45.8% 14th 4 Namibia 44.2% 19th 5 Mozambique 43.2% 20th 6 Ethiopia 41.3% 25th 7 Cabo Verde 38.9% 30th 8 Angola 38.6% 32nd 9 Burundi 38.2% 36th 10 United Republic of Tanzania 37.4% 41st
View attachment 2931206
View attachment 2931263View attachment 2931265
Katika ukurasa wake wa (X) zamani Twitter Mhe. David Kafulila katika heri za Siku ya Mwanamke Duniani ameandika haya;
Kwanza, Mhe Kafulila anaunga mkono Uadilifu na Uchapakazi wa Wanawake dunia hasa pale wanapoaminiwa na kupewa nafasi za kiuongozi.
Mathalani hapa Tanzania unaweza ukaona namna Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alivyomwadilifu na mwaminifu sana.
Mhe Rais Dkt. Samia Suluhu leo anatimiza miaka MITATU ya Urais ila hakuna hata mmoja wa Watanzania awe ni mpinzani au MwanaCCM anaweza kusimama na kusema Mama amekula hata Shilingi mia ya Serikali (ni mwanamke).
Katika ripoti iliyochapishwa na jarida maarufu Duniani la Insider Africa, nchi ya Rwanda ndio wanaongoza kwa kuwaamini Wanawake Barani Africa kwa sasa.
Huenda labda ndio sababu kasi ya maendeleo nchini Rwanda ni yakupigiwa mfano na Kila mwenye akili timamu.
Sisi Tanzania tunashika nafasi ya 41 kidunia na nafasi ya 10 kwa Africa na tumeamini na kuajiri Wanawake kwa zaidi ya 37.4% si haba.
#Utafiti hupingwa kwa Utafiti ila ni ukweli wa wazi kuwa Wanawake si wapigaji kama Wanaume.
But sio woteHoja yako ni kweli, Wanaume ni upigaji kwenda mbele
Nakubaliana na hii kwa 100%

Huyu kenge, aliyepigiwa na kuibiwa mke,tangu apewe ulaji na kunenepeana kama kiboko! Ataongea kila upuuzi, ili kulinda ugari wake

Jamaa atajikomba mpaka basi, Rais angekuwa Me asingethubutu kutoa hizo takwimu japo ni za kweliJamaa anatafuta maandiko ya kumchota mama akili. Huu uchawa, hakuna jina lingine
Ni wazi yaani inafika mahala watu wanauza utu kisa njaa eti wanawake😂😂😂Jamaa anatafuta maandiko ya kumchota mama akili. Huu uchawa, hakuna jina lingine
Marekani hawataki kuongozwa na mwanamke!Huyu mjinga atuwekee serikali za Marekani, Urusi na Israel
Wengi kwenye nini?Marekani Wanawake ni wengi sijui kuhusu Urusi
Wamefanya nini? Wao hawaibi? Mbona wamewang'ang'ania akina Halima Mdee na genge lake?! Ndiyo usimamizi mzuri huo!?Naiunga mkono hoja hii, Ukitaka kuamini angalia Dkt Samia na Dkt Tulia
Ngoja tuone Kamala Harris-CHALI, CHEZEA WAMAREKANI WEWE!
Mimi namwomba Rais amteue Ms Ngalula awe mkurugenzi wa PPP. halafu tusikie tena huu ujinga wa tumbili.Kafulila hajaridhika na cheo alichonacho?
Hata Zanzibar hapo hawataki huyo upuuziMarekani hawataki kuongozwa na mwanamke!
Tumpe mama mitano tenaKwa hiyo tufanyeje?
#Samia mitano tena
Rank Country % of Women in Parliament Global rank 1 Rwanda 61.3% 1st 2 Senegal 46.1% 11th 3 South Africa 45.8% 14th 4 Namibia 44.2% 19th 5 Mozambique 43.2% 20th 6 Ethiopia 41.3% 25th 7 Cabo Verde 38.9% 30th 8 Angola 38.6% 32nd 9 Burundi 38.2% 36th 10 United Republic of Tanzania 37.4% 41st
View attachment 2931206
View attachment 2931263View attachment 2931265
Katika ukurasa wake wa (X) zamani Twitter Mhe. David Kafulila katika heri za Siku ya Mwanamke Duniani ameandika haya;
Kwanza, Mhe Kafulila anaunga mkono Uadilifu na Uchapakazi wa Wanawake dunia hasa pale wanapoaminiwa na kupewa nafasi za kiuongozi.
Mathalani hapa Tanzania unaweza ukaona namna Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alivyomwadilifu na mwaminifu sana.
Mhe Rais Dkt. Samia Suluhu leo anatimiza miaka MITATU ya Urais ila hakuna hata mmoja wa Watanzania awe ni mpinzani au MwanaCCM anaweza kusimama na kusema Mama amekula hata Shilingi mia ya Serikali (ni mwanamke).
Katika ripoti iliyochapishwa na jarida maarufu Duniani la Insider Africa, nchi ya Rwanda ndio wanaongoza kwa kuwaamini Wanawake Barani Africa kwa sasa.
Huenda labda ndio sababu kasi ya maendeleo nchini Rwanda ni yakupigiwa mfano na Kila mwenye akili timamu.
Sisi Tanzania tunashika nafasi ya 41 kidunia na nafasi ya 10 kwa Africa na tumeamini na kuajiri Wanawake kwa zaidi ya 37.4% si haba.
#Utafiti hupingwa kwa Utafiti ila ni ukweli wa wazi kuwa Wanawake si wapigaji kama Wanaume.
Tumpe mama mitano tena
#Samia mitano tena
Nakubaliana
Rank Country % of Women in Parliament Global rank 1 Rwanda 61.3% 1st 2 Senegal 46.1% 11th 3 South Africa 45.8% 14th 4 Namibia 44.2% 19th 5 Mozambique 43.2% 20th 6 Ethiopia 41.3% 25th 7 Cabo Verde 38.9% 30th 8 Angola 38.6% 32nd 9 Burundi 38.2% 36th 10 United Republic of Tanzania 37.4% 41st
View attachment 2931206
View attachment 2931263View attachment 2931265
Katika ukurasa wake wa (X) zamani Twitter Mhe. David Kafulila katika heri za Siku ya Mwanamke Duniani ameandika haya;
Kwanza, Mhe Kafulila anaunga mkono Uadilifu na Uchapakazi wa Wanawake dunia hasa pale wanapoaminiwa na kupewa nafasi za kiuongozi.
Mathalani hapa Tanzania unaweza ukaona namna Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alivyomwadilifu na mwaminifu.
Mhe Rais Dkt. Samia Suluhu ametimiza miaka MITATU ya Urais lakini hayuko Mtanzania mmoja awe ni mpinzani au MwanaCCM anaweza kusimama na kusema Mama amekula hata Shilingi mia ya Serikali (Samia ni mwanamke).
Katika ripoti iliyochapishwa na jarida maarufu Duniani la Insider Africa, nchi ya Rwanda ndio wanaongoza kwa kuwaamini zaidi Wanawake Barani Africa kwa sasa.
Huenda labda ndio sababu kasi ya maendeleo nchini Rwanda ni yakupigiwa mfano na Kila mwenye akili timamu.
Sisi Tanzania tunashika nafasi ya 41 kidunia na nafasi ya 10 kwa Africa hata hivyo tumeamini na kuajiri Wanawake kwa zaidi ya 37.4% bado tunayo safari.
#Utafiti hupingwa kwa Utafiti ila ni ukweli wa wazi kuwa Wanawake si wapigaji kama Wanaume.
#Samia Mitano Tena,
Ni kweli kwa kiasi kikubwa

Kazi nzuri sana bwana Kafulila

Nakubaliana na hii kwa kiasi kikubwa

Hii ni kweli kabisa