muungwana anaweza kumbeba tena na kumpa the restructured nic
Mambo kama hayo kwa JK hayamsumbui, kesho utasikia kaambiwa na Rais arudi kazini kama ilivyokuwa kwa Idrisa Rashid wa TANESCO
Habari zilizotufikia hivi punde kutoka kwenye mitambo ya mi-chichemi zinasema
Aliekuwa mkurugenzi wa ATCL bw DAVID MATTAKA maji yamemfika shingoni kaamua kulitema mzigo wa ATCL.(RESIGNATION)
Akiongea kwa uhakika mtoa chanzo ambae aliomba jina lake lisitajwe amesema bwa mattaka aliamua hivyo baada ya kubanwa sana na wafanyakazi wakiwemo viongozi wenzake waliomo kwenye menejiment.......
for more info stay tuned: