David Molinga ataisaidia Yanga kimataifa. Ni mzoefu sana

David Molinga ataisaidia Yanga kimataifa. Ni mzoefu sana

Njemba Soro.

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2013
Posts
3,732
Reaction score
6,561
Kwa namna moja au nyingine huyu Molinga kwa umri wa miaka 19 alionao, na uzoefu alionao anapokuwa mbele ya goli. Hakika hao piramidi wajipange.

Kwa ule mwili na nguvu lazima aisaidie klabu kongwe.
 
🤣 🤣 🤣 🤣 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 🤪🤪🤪🤪🤪
 
lile limwili utafkiri anakulaga ng'ombe mzima atawaweza waarab wepesi
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Kwa namna moja au nyingine huyu Molinga kwa umri wa miaka 19 alionao, na uzoefu alionao anapokuwa mbele ya goli ,... Hakika hao piramidi wajipange. KWA ULE MWILI NA NGUVU LAZIMA AISAIDIE KLABU KONGWE.
Miaka 19?
 
Umelewa Bangi!
 
Huyo mtu anayekimbia kama trekta lililofungwa injini ya bajaj ndo tegemeo la Yanga?😁😁😂😂😂👊 Kama ni hivyo basi Yanga ni timu ya kuhurumiwa sana!
 
Huyo mtu anayekimbia kama trekta lililofungwa injini ya bajaj ndo tegemeo la Yanga?😁😁😂😂😂👊 Kama ni hivyo basi Yanga ni timu ya kuhurumiwa sana!

Siku akiwatungua, hamtachelewa kulialia, kumlalamikia mwamuzi na kung'oa viti vya uwanjani! Maana hakuna mashabiki walalamishi na mbumbumbu duniani kama wa mikia/mbumbumbu fc.
 
Molinga hakuna mchezaji pale anakimbia Kama gunia njegere
 
Siku akiwatungua, hamtachelewa kulialia, kumlalamikia mwamuzi na kung'oa viti vya uwanjani! Maana hakuna mashabiki walalamishi na mbumbumbu duniani kama wa mikia/mbumbumbu fc.
Mara ya mwisho Yanga kuifunga Simba ilikuwa mwaka 2016
 
Tafsiri Ya Molinga Kwa Kibongo Ni Mturinga! Sasa Mtulinga Utawesa Ingisa Go Kunyavu Za Bhanamisri?
 
Ule mwili una shukrani ya chakula, aongeze zoezi tu, ila mbona akina Medi Kagere wanavaa vikuku ila hatuwasemi vibaya?
Huyo mtu anayekimbia kama trekta lililofungwa injini ya bajaj ndo tegemeo la Yanga?[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji109] Kama ni hivyo basi Yanga ni timu ya kuhurumiwa sana!
 
Back
Top Bottom