Njemba Soro.
JF-Expert Member
- Oct 5, 2013
- 3,732
- 6,561
Miaka 19?Kwa namna moja au nyingine huyu Molinga kwa umri wa miaka 19 alionao, na uzoefu alionao anapokuwa mbele ya goli ,... Hakika hao piramidi wajipange. KWA ULE MWILI NA NGUVU LAZIMA AISAIDIE KLABU KONGWE.
Chuki ni ugonjwa..Lukaku ana mwili mdogo?lile limwili utafkiri anakulaga ng'ombe mzima atawaweza waarab wepesi
mwili wa Lukaku na Moringa unaufanananisha, mwili wa Lukaku unaendana na mazoezi na chakula anachokula wakati mwili wa Moringa ni manyama uzembeChuki ni ugonjwa..Lukaku ana mwili mdogo?
Kwa namna moja au nyingine huyu Molinga kwa umri wa miaka 19 alionao, na uzoefu alionao anapokuwa mbele ya goli ,... Hakika hao piramidi wajipange. KWA ULE MWILI NA NGUVU LAZIMA AISAIDIE KLABU KONGWE.
Huyo mtu anayekimbia kama trekta lililofungwa injini ya bajaj ndo tegemeo la Yanga?ππππππ Kama ni hivyo basi Yanga ni timu ya kuhurumiwa sana!
Kile kikosi cha Jangwani hakina mtu wa kuitungua Simba kwa sasa.Siku akiwatungua, hamtachelewa kulialia, kumlalamikia mwamuzi na kung'oa viti vya uwanjani! Maana hakuna mashabiki walalamishi na mbumbumbu duniani kama wa mikia/mbumbumbu fc.
Mara ya mwisho Yanga kuifunga Simba ilikuwa mwaka 2016Siku akiwatungua, hamtachelewa kulialia, kumlalamikia mwamuzi na kung'oa viti vya uwanjani! Maana hakuna mashabiki walalamishi na mbumbumbu duniani kama wa mikia/mbumbumbu fc.
Huyo mtu anayekimbia kama trekta lililofungwa injini ya bajaj ndo tegemeo la Yanga?[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji109] Kama ni hivyo basi Yanga ni timu ya kuhurumiwa sana!