David Ndii: Tanzania economy is growing faster.


Wapinzani huwa nawaunga mkono pale wanakosoa kwa kusudi la kuboresha, hapo naona umekwepa hayo maneno niliyoongeza kwamba huyu huwa na visasi na hasira, hana lolote nzuri hata moja ambalo amelisema kuhusu nchi yake.
Kuna baadhi ya viongozi wa upinzani Kenya nawapenda sana, akiongea unaona anayo hoja nzuri na amewasilisha ipasavyo. Nyie hapo kwenu ni mwendo wa kufia chama, hamtaki kuwaskliza upinzani kwa lolote.
 
Hakuna mpinzani ambaye hukosoa kwa kusudi la kubomoa, hata kama anachokisema sio cha kweli lakini lengo lake ni kufanya watawala wawe makini zaidi na kuboresha maeneo wanayoyapigia kelele. Hivyo hata kama wewe kwa mawazo yako unadhani hawana lolote, lakini umuhimu upo, kwa nchi yoyote ile.

Wewe unatuhumu watu hapa kuwa wanatetea chama chao, wakati wewe mwenyewe unatetea jubilee hapa kila siku, usiku na mchana. Sasa sijui tofauti ya wao na wewe ni ipi hapa. Au umesahau kuwa jubilee ni chama tawala Kenya kama ilivyo ccm tz.

Bora mtu kama mimi ambaye sina chama wala si mwanasiasa, naongea masuala yanahohusu maslahi ya nchi yangu bila kuangalia kafanya nani.

Lakini wewe Jubilee na CCM tz hamna tofauti yoyote. NASA na chadema pia hawana tofauti.
 
Reactions: Oii
We are the highest rated in fast growing economies in africa acha upumbavu we don't need your approval to make us feel we are on the right track
Mrichorithi kutoka kwa late Nyerere ni maneno na hadithi nyiiingi nothing tangible on ground thus why baada ya miaka mingi bado ni LDC in all socio- economic index.
Na huyu jpm atawarithisha ukatili na sifa za kijinga tu huku majority wakibaki poor kama repoa ilivyobaini.Only you the associates of the regime ndo mtabakia kulamba makwapa ya mnaemtumikia,fara ww amka waonee huruma maskini wanaowapigia kura
 
Ndii niliacha kushughulika na maneno yake pale alipoibuka na ile hoja yake ya kuigawanisha Kenya mara mbili ili Raila awe na nchi yake ya kuitawala.
 
Work hard you will die from hunger, crying like a baby won't help you
 
Give me one economist who supports uhurus kleptocracy economics

Kama hayupo huyo economist,haizuii kuwepo wa NASA!

NASA ni partners na Magufuli,thats a known fact.

Na David Ndii ni mnazi wa Magufuli kama alivyo boss wake Raila...Hana bipartisan position on this....

Take that into the bank!
 
Hapa ni mablogger wa jubillee party wanaotamani kupewa kadarasi ya unblogger wanamshambulia ndii. Mbona hawakanushi Kwa hoja za kiuchumi alioyasema mbali ni kulia ni wa upinzani blah blah...
 
Give me one economist, wacha blah blah blah
Acha kutisha watu na hojaless yako. Waziri wa fedha Henry Rotich ni economist, Harvard trained. Sio kila economist amechanganyikiwa kama Ndii. Kazi kuuza sura tu wakati wenzake kwenye hiyo taaluma wanatumia ujuzi wao kuitumikia nchi yao.
 
We are the highest rated in fast growing economies in africa acha upumbavu we don't need your approval to make us feel we are on the right track
That is a statistical juggling which can not be justified on the ground,constrictive financial measures which are being pursued by the government is making people pant like dogs in a hot afternoon.
 
Acha kutisha watu na hojaless yako. Waziri wa fedha Henry Rotich ni economist, Harvard trained. Sio kila economist amechanganyikiwa kama Ndii. Kazi kuuza sura tu wakati wenzake kwenye hiyo taaluma wanatumia ujuzi wao kuitumikia nchi yao.
Rotich has tabled a bill to repeal intrest rate caps after near collapse of financial sector. David ndii had warned about the nagative effects of rate caps.
Rotich has admited that the gvnt is broke, david ndii had said this long before rotich.
Rotich has gone for 2nd eurobond, despite CBK gvnr njoroge saying its unsustainable.David ndii warned about eurobond and specally said we are heading to austerity like greece. Rotich has now tabled a bill to impliment austerity to the tune of 80b.
So the 2 gentlemen actually agree, just that Rotich is an employee and he must follow drunkard uhurus instructions!
 
Work hard you will die from hunger, crying like a baby won't help you
One with hunger can't afford to purchase even a 300 mb bundle
Nawalilia hao mnaokula jasho lao huku mumesimama juu ya mabega yao
 
Ulitaka upewe jina la economist mmoja tu. Nimekupa Henry Rotich. Hizi blah blah blah zingine nyingi sijui nani anazielewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…