pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
My point is that you have no point.Yes, and Rotich agrees with Dr. David ndii and so does CBK governor njoroge. so whats your point?
My point is that you have no point.
Huna hoja. Lakini kwenye hiyo picha hata kama ni wewe fala kutoka Kamahuhia, ungefanya nini mtu akaja tu akukabidhi bidhaa kama hiyo, tena mchana kweupe? π
π πHuna hoja. Lakini kwenye hiyo picha hata kama ni wewe fala kutoka Kamahuhia, ungefanya nini mtu akija akukabidhi bidhaa kama hiyo, tena mchana kweupe? π
Huitaji kuwa na elimu kuyajua hayo, elimu ya madrassa kutoka kule Mwanakwerekwe inatosha[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hivi ni vichekesho vya David ndiii
Haihitaji kuwa na Elimu yoyote ya chuo kikuu ya kiuchumi ili kujua kuwa Kiuchumi Tanzania INAZAMA CHINI kwa kasi ya ajabu.
Hizi ni miongoni mwa sababu za wazi kwa kila mtu.
1/Hali ya kiuchumi kwa mtu mmoja mmoja ni ngumu kupita maelezo. Karibu kila mtanzania analalamika vyuma kukaza.
2/Biashara nyingi zinafungwa, zinakufa na kufirisika kwa sasa.
3/Nguvu ya soko katika kuuza na kununua imepungua kwa karibu 50%.
4/Serikali inalalamika kimya kimya kuhusu kupungua kwa makusanyo ya mapato yake(Rejea kauli ya Rais juzi juzi alipokuwa akiongea kwenye baraza la Biashara).
5/Serikali kiuchumi imekaa kwenye mwelekeo wa kufirisika (Rejea kauli ya CAG kuhusu kasi ya kukua kwa deni la taifa kunako hatarisha kuja kufirisika).
6/Sehemu kubwa ya miradi ya kimaendeleo karibu kila Halmashauri imekwama kabisa kwa sababu ya ukosefu wa pesa japokuwa imo kwenye bajeti ya serikali na ilishatengewa pesa.
Kichwa yako leo imekunywa chang'aa toka wapi?[emoji1] [emoji1] [emoji1]Bill clinton also went to Yale, with her wife Hilary, so did george bush.... Ingia hapa uangalie alumni wa Yale List of Yale University people - Wikipedia
Huyo jamaa kuna wakati alifanyia kazi serekali, the good thing about Kenya is that there is no shortage of Talent, He is not the only one with intellectual capacity to save Kenyans, alialikwa afanyie kazi serekali akakataa na kumtukana rais .....
We have other people just as qualified if not more than him working in government
Dr.Patrick njoroge alikua Deputy Director IMF headquarters in Washington DC akilipwa 3 million a month, huo mshahara ni zaidi ya Mshahara wa Uhuru+Ruto combined!
----
Patrick Ngugi Njoroge Education Background
1987- 1993: Graduate student at Yale University, graduating with a Doctor of Philosophy in economics.
1985: Graduate student at the University of Nairobi, Master of Arts in Economics
1981- 1983: Undergraduate student at the University of Nairobi, Bachelor of Arts in Economics
1977- 1978: Student at Strathmore College, A-Level studies
1973- 1976: Secondary school student at Mangu Secondary School.
Work experience:
December 2012- June 2015: Advisor to the Deputy Managing Director of the IMF.
December 2006 β December 2012: Deputy Division Chief, Finance Department, at the IMF, Washington, D. C.
November 2005 β December 2006: IMF mission chief for Dominica.
April 1995 β October 2005: Economist but later as a senior economist at International Monetary Fund (IMF) in Washington, D. C
March 1993 β December 1994: Economist at the Kenyan Ministry of Finance
October 1985- August 1987: Planning Officer at the Kenyan Ministry of Planning
-----
Patrick Njoroge β CBK Governor (News)
The man in charge of Kenyaβs money has turned down the offer to live in an expansive home in Nairobiβs Muthaiga and ride in a motorcade.
Dr Patrick Ngugi Njoroge, who took over as Central Bank of Kenya governor last week, will instead be housed in communal accommodation in Nairobiβs Loresho estate with his fellow members of Opus Dei (Latin Work of God), an institution of the Catholic church.
The institution teaches that everyone is called to holiness and that ordinary life is a path to sanctity. Most of its members are lay people, with secular priests under a bishop.
Dr Njoroge, who is turning out to be a man of exemplary modesty, has also turned down an office-issued high end smart phone, a bevy of security guards and three cars.
Central Bank governors have at their disposal a Range Rover, Mercedes Benz and a VW Passat.
When he was being vetted by MPs before his appointment by President Uhuru Kenyatta, Dr Njoroge was asked why he did not own property in Kenya and was still single at 54 yet his monthly salary at the International Monetary Fund was Sh3 million a month.
βYes I donβt have a single asset here in Kenya and this is where I am at this point and it doesnβt mean that this how it will be forever. I subscribe to being very deliberate about that. This is my economic model and may be years after retirement, I would want to invest in other things. That should not mean I have any financial inabilities. It comes with the profession,β the countryβs 9th Central Bank governor said.
He told the MPs that his lifestyle was a matter of choice and there was nothing unusual about it.
MPs approved his nomination, paving the way for his appointment, but not before making inappropriate offers to get him a wife.
In a country where appointment to public office is associated with opulence, demand for higher pay and motorcades, Dr Njorogeβs decision to pass up a chance to live in a house on two acres located in the cityβs most exclusive suburb is a rare one.
Had he taken up the offer, some of his neighbours would have been former President Mwai Kibaki, the US ambassador, British high commissioner and former Attorney General Charles Njonjo.
The home has lawns and beautiful mature gardens, ideal for parties and official receptions and functions.
Akili za kuku hizi, anapokula ndipo anapokunya.Binafsi huwa sijadili maoni ya watu kwenye Twitter, maana hayana utofauti wowote na maoni ya kila mmoja wetu humu. Hivyo ukileta uzi halafu uweke Twitter ndio chanzo chako, napita kimya.
Pili huyu Ndii ni mpinzani tena mwenye hasira na visasi dhidi ya serikali, hivyo lazima aongelee mabaya na kupindisha pindisha, maana takwimu zipo wazi tumewazidi Tanzania kwenye PPP na hata kwenye GDP.
Wewe ndiye hujui unachokizungumza, umeambiwa taja conomist mmoja ambaye anapingana na mawazi ya Ndii, wewe unataja ambaye anakubaliana na mawazo ya Ndii kwasababu umeshindwa kumpata anayepingana na mawazo ya Ndii, stupid nyang'au.My point is that you have no point.
Yaani wewe mtu akisema kitu hapa unaichukulia kama injili. Soma bana acha kupenda kuelimishwa. Watakupoteza. Unajua Henry Rotich ni nani? Tangu lini wakakubaliana na Ndii? Nangoja ushahidi wa hilo kutoka kwako. Leta source tuone Rotich alipokubaliana na Ndii.Wewe ndiye hujui unachokizungumza, umeambiwa taja conomist mmoja ambaye anapingana na mawazi ya Ndii, wewe unataja ambaye anakubaliana na mawazo ya Ndii kwasababu umeshindwa kumpata anayepingana na mawazo ya Ndii, stupid nyang'au.
mwenzako yuko na hoja. Wewe ume fail umeanza personal attacksHuna hoja. Lakini kwenye hiyo picha hata kama ni wewe fala kutoka Kamahuhia, ungefanya nini mtu akaja tu akukabidhi bidhaa kama hiyo, tena mchana kweupe? π
Huyu jamaa nikiraza namba moja humu ndani. Anazidiwa na HamstereππWewe ndiye hujui unachokizungumza, umeambiwa taja conomist mmoja ambaye anapingana na mawazi ya Ndii, wewe unataja ambaye anakubaliana na mawazo ya Ndii kwasababu umeshindwa kumpata anayepingana na mawazo ya Ndii, stupid nyang'au.
mwenzako yuko na hoja. Wewe ume fail umeanza personal attacks
The guy is good up-stairs. Wewe unalukia hoja bila kuwa na point
Acha umbea. Kinyangarika mwenzako huyo lazima mazero brain mpigiane promo. Kulukia na kiraza ndio nini? Au ni kiswahili cha kwenu Kolomije? Kama huna hoja anzisha uzi utuletee tweet za wakenya kama ilivo kawaida yako.Huyu jamaa nikiraza namba moja humu ndani. Anazidiwa na Hamstereππ
Hivi wewe kichwa chako kina matatizo gani?, Mkikuyu amekuonyesha jinsi ambavyo Henry Rotich intuitively alivyokubaliana na Mawazo ya Ndii, ameeleza maeneo mengi tu ambayo amesema Rotich ikiwemo serikali kuishiwa pesa, hatari ya kuendelea kukopa, na mengine mengi ambayo Ndii aliyasema na kuyatabiri huko nyuma, sasa unataka hadi aseme kwama"Mimi kama Rotich ninakubaliana na David Ndii?". Hebu soma tena hizo posts za mkikuyu uone jinsi alivyokuonyesha Rotich na Ndii mawazo yao yanavyo fanana, mbona ni rahisi sana kuona jinsi yanavyokubaliana?Yaani wewe mtu akisema kitu hapa unaichukulia kama injili. Soma bana acha kupenda kuelimishwa. Watakupoteza. Unajua Henry Rotich ni nani? Tangu lini wakakubaliana na Ndii? Nangoja ushahidi wa hilo kutoka kwako. Leta source tuone Rotich alipokubaliana na Ndii.
Ushahidi gani huo ambao ameueka hapa? Au umeona maoni yake ukajua basi? Kama kila habari kuhusu Kenya unangoja uelimishwe na watu kama hao basi sitakosea nikikuita mwenda wazimu. Nangoja ulete source ya ushahidi ambao unaonesha Henry Rotich akikubaliana na Ndii. Sijakuambia uje na umbea. Comprende?Hivi wewe kichwa chako kina matatizo gani?, Mkikuyu amekuonyesha jinsi ambavyo Henry Rotich intuitively alivyokubaliana na Mawazo ya Ndii, ameeleza maeneo mengi tu ambayo amesema Rotich ikiwemo serikali kuishiwa pesa, hatari ya kuendelea kukopa, na mengine mengi ambayo Ndii aliyasema na kuyatabiri huko nyuma, sasa unataka hadi aseme kwama"Mimi kama Rotich ninakubaliana na David Ndii?". Hebu soma tena hizo posts za mkikuyu uone jinsi alivyokuonyesha
Wewe ni chizi kabisa, Rotich hajasema kwamba serikali ni broke?, unataka ushahidi kuthibitisha kwamba Rotich amesema serikali ni broke haina pesa?Ushahidi gani huo ambao ameueka hapa? Au umeona maoni yake ukajua basi? Kama kila habari kuhusu Kenya unangoja uelimishwe na watu kama hao basi sitakosea nikikuita mwenda wazimu. Nangoja ulete source ya ushahidi ambao unaonesha Henry Rotich akikubaliana na Ndii. Sijakuambia uje na umbea. Comprende?
Wachana na huyu Kilaza wa kwetu, hua na matatizo ya kuelewa πWewe ni chizi kabisa, Rotich hajasema kwamba serikali ni broke?, unataka ushahidi kuthibitisha kwamba Rotich amesema serikali ni broke haina pesa?
Sasa Henry Rotich akisema serikali haina hela ndio inamaanisha wanakubaliana na Ndii? πππ We jamaa bana. Leta ushahidi acha pang'an'ga.Wewe ni chizi kabisa, Rotich hajasema kwamba serikali ni broke?, unataka ushahidi kuthibitisha kwamba Rotich amesema serikali ni broke haina pesa?
Naona umeingia kwenye ligi inayokufaa. Ligi ya umbea wa wanaume. Hongera zako. Umepata washamba wa kudanganya utakavyo. Offcourse wote ni mabongolala. Eti serikali ya Kenya haina economists wanaoiunga mkono. Ndii ndio economist pekee yake dunia nzima. π Unaumwa.Wachana na huyu Kilaza wa kwetu, hua na matatizo ya kuelewa π
Hivi unajua maana ya neno ushahidi?, alichokisema Mkikuyu- akili timamu ni kwamba, ushauri aliotoa David Ndii kuhusu uchumi wa Kenya, unafanana na ushauri wa economists wengine hapo Kenya, yeye alitumia neno kukubaliana, lakini akimaanisha kufanana kwa mawazo, alikuomba utaji economist yeyote ambao ushauri wake haufanani na ule wa David Ndii, umemtaja Rotich, sasa onyesha ni ushauri gani alioutoa Rotich ambao haufanani na ule wa Ndii, wewe unataka ushahidi, sina uhakika kama unaelewa anachokizungumza Mkikuyu - akili timamu, inaonekana gap kati yako na wewe katika thinking capacity ni kubwa sana.Sasa Henry Rotich akisema serikali haina hela ndio inamaanisha wanakubaliana na Ndii? πππ We jamaa bana. Leta ushahidi acha pang'an'ga.
Blah blah blah unafata maoni ya mtu mwingine kwani huna yako? Alafu unachukulia kama 'fact'. π Ni wazi kwamba hujui chochote kuhusu Ndii wala maswala yeyote mengine kuhusu Kenya. 'Vita' vyenu vya Platnumz na Kiba viliisha nini?Hivi unajua maana ya neno ushahidi?, alichokisema Mkikuyu- akili timamu ni kwamba, ushauri aliotoa David Ndii kuhusu uchumi wa Kenya, unafanana na ushauri wa economists wengine hapo Kenya, yeye alitumia neno kukubaliana, lakini akimaanisha kufanana kwa mawazo, alikuomba utaji economist yeyote ambao ushauri wake haufanani na ule wa David Ndii, umemtaja Rotich, sasa onyesha ni ushauri gani alioutoa Rotich ambao haufanani na ule wa Ndii, wewe unataka ushah