David Silinde: Ili kuwakomesha Zambia kwa kutufungia mpaka, Serikali yetu iwaongezee Tozo kwenye mizigo yao iliyopo bandarini Dsm

Hapo hajamaliza hata nusu mwezi tangu awekwe pembeni CDM,je baada ya miezi 2 si atakuwa kama Mlinga???
 
Silinde asisahau kazi kubwa aliyoipata mh raisi baada ya zile vurugu zake alizozileta wakati anaingia madaraki na safari nyingi za bandarini. Tunakumbuka wafanyabiashara wengi wa nchi jirani waliikimbia bandari yetu mpk ikapelekea raisi wetu kuwaalika maraisi wa nchi jirani angalao kurudisha Imani upya ili kuweza kutumia bandari yetu tena.
 
Na wewe ndio think tank ya chadema uliyeshauri wabunge wafukuzwe kwenye chama eti wamekosea kuhudhuria vikao vya bunge wakati kazi ya mbunge ni kuhudhuria vikao ivi una akili timamu wewe?
We sibishani na demu anayetumia clito. Yake Kufikiri
 
Kama kweli amesema hivyo basi tuna watu wa ajabu sana bungeni.
 
Sio mbunge wa CDM Ila ni wa ndugai

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hili siyo Bunge baali ni Genge la Walevi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…