Davido achekelea nyimbo yake kutumika katika movie huko Marekani

brigedia mafia

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2016
Posts
2,260
Reaction score
2,279
Msanii David Adeleke Adedeji ameonesha furaha ya hali ya juu baada ya kuisikia nyimbo yake ya Skelewu ikichezwa katika movie kubwa huko Hollywood Marekani iitwayo Qween of Katwe

Katika movie hii pia yupo mkenya aliyeweka historia ya kushinda tuzo ya oscar mwanadada Lupita Nyongo aliyecheza kama mhusika mkuu akishirikiana na David Oyellowo

 
sony wanamzingua..
hakuna cha mambo supa wala nini..
mziki kila mtu anafanya apate faida..
afu hakuna mpenda kiki, mashindano na umaarufu kama obo
Jamaa kwemye muziki alikuwa anatafuta umaarufu tu cuz kama hela kwao zipo chafu
 
Kuna wakati nlimsikia soggy doggy yule jamaa wa kibanda cha simu kwamba nyimbo yake imetumika katika moja ya movies zinazoigizwa huko hollywood sijui ile tetesi iliishiaga wapi maana jamaa alusema ataifuatilia ili wamlipe.
 
sony wanamzingua..
hakuna cha mambo supa wala nini..
mziki kila mtu anafanya apate faida..
afu hakuna mpenda kiki, mashindano na umaarufu kama obo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ni kweli
Kama kwao zipo si angeimba bure
Inshort naye ana zisaka pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…