heaven on desert
JF-Expert Member
- Jan 25, 2013
- 1,025
- 393
Wwngi hum wimbo wa number one ya Diamond walikuwa na pengne bado wanauchukilia poa...
lakin kwa msanii Wa kimataifa Davido hakutaka kujiuliza mara mbili mbil kuomba wimbo huo waufanyie remix..
wimbo umekamilika,naweza kusema unaweza kuwa moja ya nyimbo zitakazotamba sana kwa kipind hik baran Africa.
kuna vionjo flan vya kiswahil kavitia mule .
na kumbuka Davido anatamba sasa kwa wimbo na dancing stayle ya Skelew
na ameingiza kionjo cha wimbo huo ndan ya number 1
ni skelew vs ngololo.
stay waitn
na leo Mungu akipenda..itafanyika Video yake