Davido afanya Remix ya my number 1

heaven on desert

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2013
Posts
1,025
Reaction score
393
Wwngi hum wimbo wa number one ya Diamond walikuwa na pengne bado wanauchukilia poa...
lakin kwa msanii Wa kimataifa Davido hakutaka kujiuliza mara mbili mbil kuomba wimbo huo waufanyie remix..
wimbo umekamilika,naweza kusema unaweza kuwa moja ya nyimbo zitakazotamba sana kwa kipind hik baran Africa.
kuna vionjo flan vya kiswahil kavitia mule .
na kumbuka Davido anatamba sasa kwa wimbo na dancing stayle ya Skelew
na ameingiza kionjo cha wimbo huo ndan ya number 1
ni skelew vs ngololo.
stay waitn
na leo Mungu akipenda..itafanyika Video yake
 
Coming sooon...!!!
na usiku huu wanaweza kuimba wote on fiesta
 
Wwngi hum wimbo wa number one ya Diamond walikuwa na pengne bado wanauchukilia poa...
lakin kwa msanii Wa kimataifa Davido hakutaka kujiuliza mara mbili mbil kuomba wimbo huo waufanyie remix..
wimbo umekamilika,naweza kusema unaweza kuwa moja ya nyimbo zitakazotamba sana kwa kipind hik baran Africa.
kuna vionjo flan vya kiswahil kavitia mule .
na kumbuka Davido anatamba sasa kwa wimbo na dancing stayle ya Skelew
na ameingiza kionjo cha wimbo huo ndan ya number 1
ni skelew vs ngololo.
stay waitn
na leo Mungu akipenda..itafanyika Video yake
 
nasikia jana diamond kapiga bonge la show..
 
Ingekuja kama Suprise ingekua hottest...!
 
nawapendeaga hapo tu..
na nawaacha mbishane wenyeweee.
mi nshafanya yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…