Msanii maarufu wa muziki kutoka Nigeria, Davido, alipokuwa akipeana mkono na Mwana wa Mfalme wa Saudi Arabia, huko nchini Ufaransa alijigamba kwa kusema kuwa yeye pia ni mfalme wa Nigeria.
"Mimi ndio mfalme wa Nigeria" - Akijua vizuri ukubwa wa cheo cha kuwa mwana wa mfalme wa Saudi Arabia.