Davido aonesha jeuri ya pesa anunua gari mpyaaaa ya mwaka 2014 tzsh million 225

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
Show za kimataifa anazofanya Davido na utajiri wa familia yake unamweka kwenye nafasi nzri na kupata kila atakacho kwenye maisha. Ni Hit maker mkubwa Africa kwa sasa na Ukifuatilia radio na tv kwa siku hutokosa kukutana na nyimbo wa Skelewu ama Aye za Davido.
Ametumia Instagram yake kuonyesha gari mpya aliyoagiza na kwamba inakaribia kufika. Gari hii ni ya mwaka 2014 aina ya Mercedes Benz S63 AMG ambayo thamani yake kwa sasa ni dola140,905 ambazo nikama milioni 200 za Tanzania.

 
Poa ngoja mimi niendelee kusukuma tingatinga langu
 
dah! Sawa banah wacha sisi tujidai na maguta yetu!
 
Hoja hapo labda itakuwa ni gari jipya,,,ila jeuri ya pesa hapo haipo. Gari ya TZS 200m ni gari ya pesa ya kawaida sana.
Asante kwa news Stuna.
 
Hoja hapo labda itakuwa ni gari jipya,,,ila jeuri ya pesa hapo haipo. Gari ya TZS 200m ni gari ya pesa ya kawaida sana.
Asante kwa news Stuna.

bro/sis wewe unaendesha gari gani??? gari ya TZS200m dunia nzima sio gari ya kawaida msipende kudanganya watu..... gari za kawaida hata huko us/uk/canada ni dollar 10-30,000
 
hii mashine ya UKWELI....its not ur average S-CLASS if there is such a thing as 'average s class'

 
Kuna nyimbo katoa ni nzuriii inaitwa Aye lol nzurii balaa
 
Chief kiumbe kaagiza ya domo n wema mana prado inamletea domo sugu za mgongo
 
Huyu dogo anaimba bana!
Af hizo beats za nyimbo zake.
Maamaaaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…