Davido aonyesha jeuri ya fedha

Davido aonyesha jeuri ya fedha

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
attachment.php


Msanii kutoka pande za Naija aka Nigeria Davido aka Mr. Awards baada ya kuchukua tuzo za MTV, MAMA kama best male na ingine ile ya BET tuzo zote zikiwa ni za mwaka 2014.

Davido ameanza kuonesha uwezo wa kipesa baada ya kununua headphone yenye dhahabu aina ya 24-carat gold.

Pamoja na kufanya muziki na inavyosemekana Davido anaweza kuwa juu kifedha si kwa Nigeria tu bali kwa Bara la Afrika pia. So ma haters wakaogee

 
Diamond ni attention seeker na asipo angalia atajikuta anapiga na kuimba barazani kwa watu. Kapiga picha na award yake aliyoifuata Marekani (mbwa) akijuwa fika waislam wote Tanzania watakasirika na kuandika habari zake magazetini, ili akirudi wapambe wake wawe na cha kuongea. Ukisikia kuishiwa kimawazo ndiyo huku, yaani mtu unalazimisha kuandikwa magazetini?
 
Sisi watanzania tumerogwa vibaya sana....hivi roho haituumi tukisikia watu kama wakina lupita nyong'o nk. wanafanya vizuri nje ya kenya? Sisi diamond kufikia hapo alipo ni mafanikio mazuri kwake na pia ata kwa taifa la Tanzania..tuacheni ubinafsi na chuki za wazi wazi. Tupende vyetu na tuvipe support jamani. Ata hao mnao waona ni bora hawakuwa bora moja kwa moja,they started from the bottom.
 
Inawezekana ww ni kati ya waliogongwa na diomond na kupigwa chini na kisha dogo alivyo mjinga akawatangaza. Haiwezekani kila siku we diamond tu si utafute bwana mwingine?..yaani umehamisha mapenzi kwa davido kisa diamond?..ukisikia uhan.th wa kike ndio huo

hate the game not the player, warumi ameripoti shida iko wapi? au wewe unadhani kupiga picha na mbwa ndio ujanja? Fanculo
 
Binafsi sio mpenzi sana wa Bongo fleva. Nawauliza wapenzi wa domo kuweni wakweli wangapi wameshawahi nunua hata albamu yake moja(kama zipo)? Kama hujawahi nunua nawe ni Mnafki tu.
 
Sasa binamu utamzaba wapii avatar au yaan nimechekaaaaa loo

Ntamzaba humu humu binamu kwani vibao mpaka umuone? Tena vibao vya maneno vikali sana bora upigwe live
 
Ulimbukeni ni pale unaposhobokea mnigeria wakati wao hawana time na mwanamziki wenu.

Uzalendo muhimu sana

Mmh kumshobokeaje kwa mfano? Davido is african and we are all africans ,im proud of him kwa kuwa katutambulisha waafrica vizur kwenye tuzo za BET kwani tatizo liko wapi? We ita majina yote sijui ulimbekeni whatever ila ushabiki haulazimishwi, boss wenu mwenyew aliulizwa anampenda nani akasema chris brown kama ana uzalendo kwa nini hakumtaja barnaba au kiba? Ebu acheni zenu bhana
 
Sasa hilo dudee lina raha mnoo auuu!
 
huyo Dogo wa kishua hats ukiacha muziki anaoufanya
 
Back
Top Bottom