Sisi tumenunua mbwa mwenye thamani ya verosa.
Inawezekana ww ni kati ya waliogongwa na diomond na kupigwa chini na kisha dogo alivyo mjinga akawatangaza. Haiwezekani kila siku we diamond tu si utafute bwana mwingine?..yaani umehamisha mapenzi kwa davido kisa diamond?..ukisikia uhan.th wa kike ndio huo
Sisi tumenunua mbwa mwenye thamani ya verosa.
Ulimbukeni ni pale unaposhobokea mnigeria wakati wao hawana time na mwanamziki wenu.
Uzalendo muhimu sana
Wanigeria hawamtambui Diamond ni mwafrika akiwa anacontest na davido
Unajipendekeza ukijifanya mjuaji kumbe mburura
Mmh yani leo nilikuta watu wanafutur sehemu hilo bakul la uji sasa kubwa hatar kama swimming pool ya ndomo, ndo huyo mjinga kanikumbusha