Davido aonyesha jeuri ya fedha

Duh. 24 carats za gold ndo zinatangazwa hivyo? Wakati wengine wana spend equivalent ya hiyo hela kulisha mi mbwa yao na kuwatunza for two weeks na wanaona kawaida tu. Kweli binadamu tunatofautiana.
 
Davido kavaa headphone za meek mills wakati wakirecord single mpya ya davido nyie wabongo topic kwenu majungu yetu mtakufa masikini
 
Davido kavaa headphone za meek mills wakati wakirecord single mpya ya davido nyie wabongo topic kwenu majungu yetu mtakufa masikini

Mi nilifikir za kwako, haya ahsante kwa taarifa japokuwa haina ushahid
 
binamu mbona sijampata huyo bidada..... ngoja niendelee kuvuta kumbukumbu

Alichezaga kweny video ya jide siku hazigandi ,alisuka rasta ndefu af akawa anacheza kwa kujibinua sijui zanzibar ilikuwa
 
am outdated kweli ina maana diamonde kanunua dogy dogy
 
Gold yenye vvs 24-karat ni ya max quality ni 99.99% Gold.
 
Kaka watanzania sijui hiyo roho tuliitoa wapi? Jiulize Diamond angekuwa mkenya leo .! Hope angukuwa mbali maana nchi nzima ingekuwa nyuma yake.

Na hili lipo katika kila jambo linalofanywa na mtanzania likaonekana bora tunabeza.

Hivi yule Prezoo alyeshriki BBA si ni Mkenya yule? Mbona alipigwa chini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…