Haka ka mala... mi si kaelewi si ndo kalikuwa kanasema DIAMOND anasafiria nyota yake,lakini haishi kuweweseka kwa Diamondhahahaaaa lol na saivi naona anaomba collabo La msaulo kwa davido View attachment 262172
Kuna uwezekano hata hiyo bendera ni kenyewe kamemshobokea ili aiweke, haka kademu kanampenda sana DIAMOND maumivu yake anawashirikisha mazombi wenzake.hahahaaaa lol na saivi naona anaomba collabo La msaulo kwa davido View attachment 262172
Amewagonga alafu kawamwaga. Kaenda import kifaa kingine. Hawataki hata kumsikia. !!!!!
Haka ka mala... mi si kaelewi si ndo kalikuwa kanasema DIAMOND anasafiria nyota yake,lakini haishi kuweweseka kwa Diamond
Kuna uwezekano hata hiyo bendera ni kenyewe kamemshobokea ili aiweke, haka kademu kanampenda sana DIAMOND maumivu yake anawashirikisha mazombi wenzake.
Sh*t...
Acha kutumia lugha mbaya kwani ukipinga kwa point unapungukiwa kitu? Alafu unauhakika gani kwamba hao wanaompigia davido ni shabiki Wa wema?? Fanya uchunguzi kabla hujaaandika chochotenilikua najua mashabiki wa wema ni mahouse gal na wafungua vizibo tu kumbe ata madume ni mashabiki wake hahahaha basi hawa watakua mashoga bila shaka!!!
warumi mpumzishe basi naona mtu anapanic mpaka anajiquote mwenyewe. Ndo kushakucha hivyo....yule mnafiki aanze kupita I'd kwa I'd kuendelea na kazi yake.... Safari hii matarumbeta yatakuhusu kwenye msuto..
Wale Wa kuvote votini kwa davido. Siogopi mtu kwani hakuna anayenilisha. Max melo akinikataza nitatii manake hii forum ni yake. Wengine wote hata mje na nini hamnitishi
Eti dada unayeongea pointi naomba nikuulize kwanini tusimpigie msanii wetu kipenzi Ally Kiba na badala yake munatuamasisha tumpigie mnigeria au umesahau kategori anazowania Kiba ??????Acha kutumia lugha mbaya kwani ukipinga kwa point unapungukiwa kitu? Alafu unauhakika gani kwamba hao wanaompigia davido ni shabiki Wa wema?? Fanya uchunguzi kabla hujaaandika chochote
Acha watu watekeleze dhana ya Uhuru binafsi. Acha wachague kilichobora iwe diamond au davidoEti dada unayeongea pointi naomba nikuulize kwanini tusimpigie msanii wetu kipenzi Ally Kiba na badala yake munatuamasisha tumpigie mnigeria au umesahau kategori anazowania Kiba ??????
Shikamoo. Naomba wakusome kwa umakiniHuyo bosi wenu mwenyewe anajiita CHIBU DANGOTE jina la mfanyabiashara wa nigeria iweje watu wengine wampigie kura davido wa hukohuko nigeria muanze kupiga kelele?
Kama uzalendo angeuanza diamond ajiite CHIBU MENGI, CHIBU BAKHRESA, au CHIBU ROSTAM. Kama yeye anawafagilia hao wanaigeria iweje kwa washabiki wa kiba iwe ni kujidharaulisha?
Washabiki wa diamond hamna hoja za msingi. All in all mlitakiwa mjiulize why mko desperate mnazunguka mitandao yote duniani kuonyesha kuwa wanachokifanya baadhi ya watanzania si sahihi. Mko desperate sana mnahitaji msaada
Huyo bosi wenu mwenyewe anajiita CHIBU DANGOTE jina la mfanyabiashara wa nigeria iweje watu wengine wampigie kura davido wa hukohuko nigeria muanze kupiga kelele?
Kama uzalendo angeuanza diamond ajiite CHIBU MENGI, CHIBU BAKHRESA, au CHIBU ROSTAM. Kama yeye anawafagilia hao wanaigeria iweje kwa washabiki wa kiba iwe ni kujidharaulisha?
Washabiki wa diamond hamna hoja za msingi. All in all mlitakiwa mjiulize why mko desperate mnazunguka mitandao yote duniani kuonyesha kuwa wanachokifanya baadhi ya watanzania si sahihi. Mko desperate sana mnahitaji msaada
Kama uzalendo unaanzia nyumbani kwanini huyo diamond asijiite jina mfanyabiashara mkubwa Tanzania kajipachika jina la mfanyabiashara maarufu wa nigeria?
Jitu halina uzalendo sisi tulionyeshe uzalendo wa nini?
Hahaha huyu dougiemasta ni loud speaker ya Wema neno lake ni neno la Wema. Wema akishakula unga wake anamtext tu tukana Zari leo.
Ila atashughulikiwa kwa sasa sio good timing, na Wema hii itamcost sana sana na yule mjinga wa kariakoo aliojiingiza kwenye huu ujinga kichwa kichwa.