sawa jamaa hapo juu haongelei shule. na huyo bill gate uliyemtaja leo ukimuuliza huwa anaeleza ni jinsi gani alimepata utajiri na hajawahi kwepa kodi, hivi kweli huyo mosha anaweza kuzungumza hadharani pasipo kujig'atag'ata namna alilvyopata utajiri? hawezi utasikia tu ooh yupo karibu na riz 1 , hakuna hadithi inayoeleweka, huyo ridhiwani kamaliza chuo juzi tu leo anautajiri wa kutisha. msitufanye wajingaBill Gates ni college drop-out pia................
Huyu jamaa kawa tajiri mno kwa kuwa karibu na familia ya Jk. Ametumia influence hiyo vuzuri, au kwa kifupi ni kama alivyopata utajiri Kasena, na hana record ya "crime".
Avatar yako inaionyesha wewe ni mtu wa aina gani....inawezekana kabisa unamjua Davis mosha vizuri sana...lakini waulize wakina Ngiloi,Jakaya,Msoolwa na wenzie.........ila davis wa zamani si wa sasa...they are the Old Kilimanjaro Mafia....
Thanks Mkuu Maisha Popote kwa hints...
mtakufa kwa presha nyie kwa kufikiria mtu fulani kapata wapi utajiri, wenzenu wana password ya jinsi ya kuwa tajiri.
By the way davis ninachompendea ni kile cha kumfundisha mkuu wa kaya ujanja wa mjini...kula bata and so on akiwa waziri wa mambo ya nje...now adays In moshi Davis nae anaheshimika kama watoto wa mjini wanavyoheshimika akirudi Dec...i mean ana hadhi kama Ngiloi,Curthbert Swai,James Sheli,Bob Sambeke na wengine wengi.....ila sikubaliani na mdau aliesema hana criminal background..atuulize sisi tunaemjua
Mkuu mama pia kamsaidia sana.....je unamkumbuka Marehemu Frank Lyatuu......Thats his man! Mkuu wa kaya nakumbuka baada ya kuingia madarakani alimpa scania mbili jamaa na kumtema...Vipi uhusiano wake na mama Anna Mkapa na wale jamaa wa malori ya Jah People... Kili boyz Mafia
Lengeri
Lengeri, tafadhali acha umbea!. JF is meant to be the home of great thinkers sio kijiwe cha umbea nani kala nini, kavaa nini na kapata wapi fedha!. Mbona kuna vijana wengi tuu wenapesa nene na hamuwaulizii?. Why Davis!.Davis Elisa Mosha, kijana kutoka familia ya kipato cha kawaida. Mzaliwa wa Kiborloni Moshi.
Davis Mosha historia yake inaonyesha hakupata elimu kubwa (aliishia form four). kazi ya mwanzo ilikuwa mjaza mafuta pale Chalinze kwenye Filling Station ambayo leo anaimiliki
Davis Mosha kwa sasa ni miongoni mwa vijana wenye utajiri mkubwa sana hapa Bongo... ni ukweli usiofichika ni vigumu kuueleza namna alivyoupata hata yeye mwenyewe inamshinda...
Je wadau huyu Davis Mosha ni nani?? Wasifu wake?? MAfanikio yake
Lengeri
Yawezekana utajiri wake umeongezeka baada ya kuwa karibu na familia ya Kikwete... huyu jamaa amekuwa tajiri kabla Kikwete hajaingia madarakan... enzi za TIOT na kina Barobhou na mashindano yao ya magari kule Iringa... hakika asili ya utajir wake inaweka mashaka ya "no crime record"
Lengeri
Tulikulia mtaa mmoja ila sijawahi kumuona tangu 1985.wala sina ninachojua kuhusu yeye alikuwa na mdgo wake justin sijui nae yupo wapi siku hizi yeye ndo alikuwa rafiki yangu.
Lengeri, tafadhali acha umbea!. JF is meant to be the home of great thinkers sio kijiwe cha umbea nani kala nini, kavaa nini na kapata wapi fedha!. Mbona kuna vijana wengi tuu wenapesa nene na hamuwaulizii?. Why Davis!.
Najua vijana wa MS mnababaika sana anavyobadili magari ya bei mbaya na ile mijengo yake ya kufa mtu hivyo mnauliza ili mwisho wa siku mwite mwizi!.