Davis Mosha afungua studio yake!

Davis Mosha afungua studio yake!

chakii

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
20,834
Reaction score
26,217
Davis Mosha ambaye aliyekuwa mgombea Ubunge Moshi mjini kupitia CCM 2015, afungua studio yake. Hii ni kwa mujibu wa ukurasa wake wa Facebook.

Tunaomba wenye taarifa zaidi watujuze masafa ya vipindi vya redio na Television yake.
13166034_591902224298525_4201360389800212899_n (1).jpg
13173885_591902490965165_394673519167489392_n.jpg
 
Mbona le mutuz anasema sio ya mosha peke yake bali ni yeye le mutuz na Mosha wanamiliki kwa pamoja
 
Le Mutuz ni share holder kwenye Swahili media ana hisa ya 0.001% kuna Uzi uliwekwa humu ,he's so humble you know.
 
Yeah am super humble you know anamiliki asilimia moja hapo nyingine za Mosha you know, so ni ma super patners...

Nafwaaaa!
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] katisha
 
Davis Mosha ambaye aliyekuwa mgombea Ubunge Moshi mjini kupitia CCM 2015, afungua studio yake. Hii ni kwa mujibu wa ukurasa wake wa Facebook.

Tunaomba wenye taarifa zaidi watujuze masafa ya vipindi vya redio na Television yake.
View attachment 344732 View attachment 344733
ni studio ya nini? sisi wengine hata hatuelewi. na ina umuhimu gani hadi iwe story ya watu kujadili hapa?
 
Back
Top Bottom