Sangarara
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 13,104
- 5,659
Juzi nilimpeleka mtoto kwenye kituo cha afya maarufu sana hapoa moshi,ila wakati nikiwa kwenye chumba cha dakatri nikaona pembeni yake kuna karatasi mbili zenye kichwa cha habari;DAWA AMBAZO HAZITOKI.
Hapo zikaorodheshwa dawa kama Ascobic acid n.k
Sasa najiuliza kama daktari anaweza kukuandikia prescribtion na kukupa dawa ili kuepuka hasara hata kama haikuwa chaguo lake.
Nisaidieni ili nione kama naweza kufanya jambo flani endapo maisha ya watu yatakuwa hatarini