Dawa ambazo hazitoki

Sangarara

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Posts
13,104
Reaction score
5,659
Juzi nilimpeleka mtoto kwenye kituo cha afya maarufu sana hapoa moshi,ila wakati nikiwa kwenye chumba cha dakatri nikaona pembeni yake kuna karatasi mbili zenye kichwa cha habari;DAWA AMBAZO HAZITOKI.
Hapo zikaorodheshwa dawa kama Ascobic acid n.k
Sasa najiuliza kama daktari anaweza kukuandikia prescribtion na kukupa dawa ili kuepuka hasara hata kama haikuwa chaguo lake.
Nisaidieni ili nione kama naweza kufanya jambo flani endapo maisha ya watu yatakuwa hatarini
 
Inawezekana imeandikwa hivyo cause dawa hizo hazipo kwenye production au zipo kwa trademark nyingine ambayo tunaita generic,yaani ni dawa ambazo zina same active ingredient,effect,strength,mechanism of action but different price which is supposse to be cheaper,different company that produce the product and can contain more or less of other ingredients like colour,taste,n.k ascorbic acid is the same as vitamin C
 
inawezekana watu wa pharmacy wanawakumbusha madaktari uwepo wa dawa fulani. kuna madaktari wapo conservative sana kwenye uandikaji wa dawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…