Dawa asili ya mbu inayozuia mbu wasiingie ndani na sabuni ya kuzuia mbu wasikung'ate

josepher

Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
70
Reaction score
14
MBU ni tatizo kubwa kwa afya zetu na familia zetu kwa ujumla.Tokomeza maleria kwa kutumia dawa ya asili iliyotengenezwa kwa mitishamba.Dawa hii ukishaiweka kwenye umeme inatoa harufu nzuri isiyokuwa na kero, ambapo husababisha mbu kuikimbia harufu hiyo. Unaweza kuacha mlango wazi na mbu hukimbia kwenda nje, na walio nje hawewezi kuingia ndani kutokana na perfume inayotoka kwenye dawa hii. Kumbuka kuwa mbu huingia ndani kwa wingi mida ya jioni giza linapoanza na asubuhi kunapoanza kupambazuka, muda huo kama utakuwa umewasha dawa, hata ukifungua milango mbu hawataingia ndani. Haina madhara kwa afya ya mwanadamu kwa kuwa imetengenewa kwa miti shamba na products nyingine za asili.
Machine pamoja na dawa Tsh 25,000/=. Dawa (liquid) peke yake Tsh 10,000
0755-522018.sabuni bei yake ni 5000/=.sabuni hii haina madhara hata kwa mtoto mchanga imetengenezwa kwa miti shamba
Sabuni nzuri sana kwa ajili ya kufukuza mbu, ukiitumia kwa kuoga inaacha harufu mwilini ambayo mbu huikimbia harufu hiyo. Sabuni hii pia ni nzuri kwa ngozi, pimples na mabaka/madoa kwenye ngozi huondoka. Haina madhara kwa afya ya mwanadamu kwa kuwa imetengenewa kwa miti shamba na products nyingine za asili. Mtoto mdogo anaweza kuitumia sabuni hii. Familia yangu tunatumia sabuni hii.
Kwa anayetaka kuwa supplier au kununua kwa bei ya jumla naomba tuwasiliane pia.
0755-522018
 
Attachments

  • 1017083_709446502404065_917232972_n.jpg
    1017083_709446502404065_917232972_n.jpg
    101.2 KB · Views: 587
  • 600830_709445622404153_47087666_n.jpg
    600830_709445622404153_47087666_n.jpg
    85 KB · Views: 467
Mkuu bei zako ni juu sana, mm nilinunua machine pamoja na hiyo liquid shs 7000.
 
siyo kweli labda ulinunua nyingine siyo hii ninayouza mimi hata kwa jumla haiuzwi hiyo bei
 
kama ni hiyo niletee piece 100 nazihitaji ila iwe kama hii niliyoipost niko tayari kuchukua
 
MBU ni tatizo kubwa kwa afya zetu na familia zetu kwa ujumla.Tokomeza maleria kwa kutumia dawa ya asili iliyotengenezwa kwa mitishamba.Dawa hii ukishaiweka kwenye umeme inatoa harufu nzuri isiyokuwa na kero, ambapo husababisha mbu kuikimbia harufu hiyo. Unaweza kuacha mlango wazi na mbu hukimbia kwenda nje, na walio nje hawewezi kuingia ndani kutokana na perfume inayotoka kwenye dawa hii. Kumbuka kuwa mbu huingia ndani kwa wingi mida ya jioni giza linapoanza na asubuhi kunapoanza kupambazuka, muda huo kama utakuwa umewasha dawa, hata ukifungua milango mbu hawataingia ndani. Haina madhara kwa afya ya mwanadamu kwa kuwa imetengenewa kwa miti shamba na products nyingine za asili.
Machine pamoja na dawa Tsh 25,000/=. Dawa (liquid) peke yake Tsh 10,000
0755-522018.sabuni bei yake ni 5000/=.sabuni hii haina madhara hata kwa mtoto mchanga imetengenezwa kwa miti shamba
Sabuni nzuri sana kwa ajili ya kufukuza mbu, ukiitumia kwa kuoga inaacha harufu mwilini ambayo mbu huikimbia harufu hiyo. Sabuni hii pia ni nzuri kwa ngozi, pimples na mabaka/madoa kwenye ngozi huondoka. Haina madhara kwa afya ya mwanadamu kwa kuwa imetengenewa kwa miti shamba na products nyingine za asili. Mtoto mdogo anaweza kuitumia sabuni hii. Familia yangu tunatumia sabuni hii.
Kwa anayetaka kuwa supplier au kununua kwa bei ya jumla naomba tuwasiliane pia.
0755-522018

Vimethibitishwaaaaaa. Isiwe kama mafuta ya ubuyu
 
inaweza kukaa miezi miwili hadi mitatu
asante ila sasa ndo hadi kuwe na umeme? huu mgao vipi? unaweza elezea inafanyaje kazi na huo umeme kama fen au? pia hiyo machine nayo baada ya miezi miwili haitumiki tena?
 
mchaka mchaka hebu tupe location uliponunua 7000 maana huyu bwana naona anang'ang'ania kusema miti shamba tu,atakuwa amekuja kufanya biashara humu.
 
Samahani unajua tokea sakata la mafuta ya ubuyu nimekuwa mwoga sana,sasa vip mkuu vimethibitishwa na mamlaka husika za TZ?
 
imethibitishwa na TFDA usiwe na wasiwasi,unaweza kutumia sabuni kwa maeneo ambayo hakuna umeme,na pia hata kama kuna mgao machine hii si lazima utumie kila siku,ukitumia leo harufu yake itaendelea kuwepo for 2 to 3days more sasa sijui kama mgao utafika siku tatu mfululizo
 
dawa inakaa for siku tatu zaidi ukitumia leo,hivyo si lazima kutumia kila siku.kwa maeneo ambayo umeme ni shida tumia sabuni
 
Back
Top Bottom