Kuna dawa ya asili inaitwa stameta inayopatikana South Africa, matumizi yake ni kusafisha mwili. Ukiinywa ni chungu kupindukia ila baada ya kunywa unakuwa unaenda chooni mara kwa mara (Usijaribu kujamba maana utaharibu utaratibu wa nguo) kwa wanaume dushe linakuwa likisimama halipoi kwa mda mrefu, ila kwa wanawake wanakuwa na risk ya kupata mbimba haraka mno.