Dawa au sindano ya kuzuia maambukizi ndani ya masaa 48 baada ngono isiyo salama

kitariko

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2014
Posts
462
Reaction score
412
Naomba hivi ni kweli kuna dawa au shindano inayoweza kuzuia maambukizi ya HIV ndani ya masaaa 48 namomba ushauri wadau.
 
naomba hiv ni kweli kuna dawa au shindano inayoweza kuzuia maambukizi ya HIV ndani ya masaaa 48 namomba ushauri wadau

kuna kitu kinaitwa Pep ( post exposure prophylaxis) sio sindano ni vidonge
 
naomba hiv ni kweli kuna dawa au shindano inayoweza kuzuia maambukizi ya HIV ndani ya masaaa 48 namomba ushauri wadau

Dawa zipo hususani kwa wafanyakazi wa sekta ya afya ambao wanaweza kupata maambukizi wakiwa kazini; inaonekana wewe muasherati Acha ngono za rejareja; dudu ikisimama piga punyeto; usitafute balaa bure ukimwi ni hatari hiyo ndiyo dawa sahihi. Kisonono, gono na kaswende utapona hilo balaa la ukimwi lisikie hivyo hivyo
 
Unajua, Ukimwi naona ni mradi wa matajiri wazungu kweli! ARV yoyote ikitumiwa kama anavyotumia mtu mwenye VVU Kwa masaa hayo 72..... mtu alietembea na mtu mwenye VVU hatapata maambukizi!! sijui kwanini wanaficha!! Malaya wa Nairobi waliishagundua hii njia Siku nyingi ......name juzi tu ninewaona kwenye Lunniga ya Citizen wakijisifu kuwa mwanaume akikataa kutumia kondomu, wanampa tu kavu....then wanapiga doziya ARV baasi! na hakuna anaeambukizwa!!! Sijui kwanini hii kitu inafanywa siri!! Kama umepata tatizo hill nenda Hosp....Kwa uhakika zaidi....Lin utapewa hizohizo mtu ARV's!
 
Pep? Mh hakuna wataalam humu waje eatujuze hiyo naijua kama sindano ya kuzuia mimba
kuna kitu kinaitwa Pep ( post exposure prophylaxis) sio sindano ni vidonge
 

Take it from chama, hilo ndo jibu sahihi...nlichogundua kwenye hii post ni kwamba wengi hatuna elimu ya kutosha kuhusiana na HIV/AIDS.
 
kuna dawa inaitwa pep hiyo huwa inatumika kuzuia maambuzi ndani ya saa 72,hasa mtu akibakwa huwa anapatiwa hii kumkinga na maambuzi,nairoba dadapoa wanatumia sana hii wanainunua kwa wahudumu wa afya pale kondom inapopasuka basi wanajinginga nayo,wito muende vituo vya ushauri na saa mkapate ilimu juu ya maambukizi na ukimwi
 
Sasa si waviuze tu ili kila mtu awe navyo kwake kama Robert Michael vitamuokoa sanaaa
 
Sasa si waviuze tu ili kila mtu awe navyo kwake kama Robert Michael vitamuokoa sanaaa

dawa ni kuacha uasherati.,mengne 2tadanganyana2!!mara sindano,cjui vdonge.,WIZI M2PUU!.Uko pouwa mremboo?!misi yuuu!
 

hakuna haja ya kupiga punyeto maana hata akiiaacha tu mwishowe italala tu,sasa atapiga punyeto ngapi maana kuanzia usiku mpaka asubuhi unaamka huwa imesimama kama mara 4-5.
 
Dawa ipo unachotakiwa ni kupata matibabu ndani ya 3 baada ya maambukizi.

najua ipo wanaita PEP \[post exposure profilaxis] bust sio ufanye ngono zembe uambukizwe afu useme utapewa dawa

hata hao wafanyakazi wa afya wanapewa kwa masharti ukijitoboa au kushika damu ya mgonjwa mwenye maradhi hayo na ukahisi umeambukizwa ndo wanakupa hiyo PEP
BUT
lazima upimwe kwanza kabla hujapewa dawa na upatikane negative then unapewa dawa ya kuzuia maambukizi but ukikutwa positive haupewi dawa maana tayari ulikuwa na maambukizi kabla ya kujitoboa so dawa haitosaidia sansana wapewa transfer uende kwa ushauri nasaha na uanze ARV's

cc kitariko
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…