majiyashingo
Member
- Feb 2, 2011
- 44
- 2
Wana jamii nataka nijikite kwenye uagizaji wa dawa baridi kutoka nchi mbalimbali je mtu wa kawaida anaruhusiwa kuagiza dawa baridi kutoka nje na kuna process zipi za kuingiza dawa?na vipi kuhusu usambazaji kuna mwenye idea yoyote nitashukuru sana kwa msaada wenu