didy muhenga
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 861
- 1,476
Wakuu nisaidieni dawa ya UTI kali sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda HospitalWakuu nisaidieni dawa ya UTI kali sana.
AzumaWakuu nisaidieni dawa ya UTI kali sana.
Why are you so hostile ?Ni UTI imepanda kichwani au? Kila uzi unaoanzisha unazungumzia UTI.
Acha ngono zembe
Nyuzi mbili muda huuhuu zote no kuhusu UTI eti kaambukizwa na demu wakeWhy are you so hostile ?
Help the brother out.
Itakuwa amepata kisonono.Unahakika ni UTI isijekuwa ni kaswende...?
Au pangusaItakuwa amepata kisonono.
Let the kid be aisee 🤣🤣Unahakika ni UTI isijekuwa ni kaswende...?
Angalia sana sana Tanzania watu wanabambikiwa ugonjwa wa UTI. Ni mara chache wanaume hupata UTI. Narudia tena: Ni mara chache wanaume wanapata UTI, hasa vijana. Huu ugonjwa unawapata wanawake mara kwa mara kwa sababu ya maumbile yao.Wakuu nisaidieni dawa ya UTI kali sana.
mtishe mwambie ni ya sindano na inachomwa kwenye dudu ili akipona siku nyengine atulize kizazi nakitovu!.
mtishe mwambie ni ya sindano na inachomwa kwenye dudu ili akipona siku nyengine atulize kizazi nakitovu!.
mashallah kabisa!Ni sindani hiyo
Na mshipa wake unatafutwa kwenye dyudyu 🤣
Zipo dawa zake fika afisini kwetu ama wasiliana nami kuzipataWakuu nisaidieni dawa ya UTI kali sana.