Dawa gani nitumie kuuteketeza upara wa utosi?

Dawa gani nitumie kuuteketeza upara wa utosi?

Tumpara Dudu

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2016
Posts
625
Reaction score
506
Wakubwa shkamooni,wadogo marahaba wadau naomba msaada,mimi mwenzenu nywele zangu zimeota pembeni ,yaani nina upara wa utosi zimeanza kuota mbaali ni dawa gani nitumie kuitibu hali hyo ili nywele zangu ziote vizuri?
 
Piga upara (tako) kichwa kizima kisha paka majivu then zisubiri ziote tena.nina hakika zitaota zote
 
Mkuu hilo jivu napaka kilasiku au mara moja tu palepale nimalizapo kunyoa?
Tumia product inaitwa Double Stemcell au Crystal. Ni-pm nikuelekeze vizuri. Inaotesha vizuri sana. Ni teknolojia ya Uswiss na Malaysia safi sana
 
Wakuu me naona ingekuwa vizuri mtoe majibu hapa hapa jukwaani badala ya huko Pm kwa njia hiyo mtasaidia wengi
 
Tumia product inaitwa Double Stemcell au Crystal. Ni-pm nikuelekeze vizuri. Inaotesha vizuri sana. Ni teknolojia ya Uswiss na Malaysia safi sana
Mbona kama uchawi sasa? Wewe umeombwa msaada hapa,unakimbilia maswala ya PM.
 
Wakuu me naona ingekuwa vizuri mtoe majibu hapa hapa jukwaani badala ya huko Pm kwa njia hiyo mtasaidia wengi
Product inaitwa Double Stemcell ya kampuni iitwayo Phytoscience. Pamoja nna kutibu tatizo la nywele na ngozi kwa ujumla inarekebisha mifumo mingi iliyoharibika mwilini kama kutibu cancer, kisukari, pressure,majeraha nk. Ni teknolojia ya Uswisi na Malaysia
 
Achana na story za vijiweni..
Kama una Kipara komaa na kofia tu kama mwenzio ne_yo
 
Kuna dawa inaitwa minoxidil.... huwa inatumika pia.... maelezo zaidi pm!
 
ukipata msaada tupe na mrejesho mkuu....!!nakiona kipara kinakuja kwa kasi...!
 
Back
Top Bottom