Tumpara Dudu
JF-Expert Member
- Nov 15, 2016
- 625
- 506
Mkuu hilo jivu napaka kilasiku au mara moja tu palepale nimalizapo kunyoa?Piga upara (tako) kichwa kizima kisha paka majivu then zisubiri ziote tena.nina hakika zitaota zote
Tumia product inaitwa Double Stemcell au Crystal. Ni-pm nikuelekeze vizuri. Inaotesha vizuri sana. Ni teknolojia ya Uswiss na Malaysia safi sanaMkuu hilo jivu napaka kilasiku au mara moja tu palepale nimalizapo kunyoa?
Nipm mkuu ili nikuelekeze kwa whatsapp na shuhuda nzuri nikupeMkuu hilo jivu napaka kilasiku au mara moja tu palepale nimalizapo kunyoa?
Tayari mkuu nipo PMNipm mkuu ili nikuelekeze kwa whatsapp na shuhuda nzuri nikupe
Mbona kama uchawi sasa? Wewe umeombwa msaada hapa,unakimbilia maswala ya PM.Tumia product inaitwa Double Stemcell au Crystal. Ni-pm nikuelekeze vizuri. Inaotesha vizuri sana. Ni teknolojia ya Uswiss na Malaysia safi sana
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Mbona kama uchawi sasa? Wewe umeombwa msaada hapa,unakimbilia maswala ya PM.
Product inaitwa Double Stemcell ya kampuni iitwayo Phytoscience. Pamoja nna kutibu tatizo la nywele na ngozi kwa ujumla inarekebisha mifumo mingi iliyoharibika mwilini kama kutibu cancer, kisukari, pressure,majeraha nk. Ni teknolojia ya Uswisi na MalaysiaWakuu me naona ingekuwa vizuri mtoe majibu hapa hapa jukwaani badala ya huko Pm kwa njia hiyo mtasaidia wengi
Hahaha,kaka miaka 30 mbona mdogo sana?Mkuu maji yameshakuacha ila bado huamini, pambana na hali yako.
Hahaha. Kofia siziwez mkuu,jotoAchana na story za vijiweni..
Kama una Kipara komaa na kofia tu kama mwenzio ne_yo