dawa gani nzuri kwa makovu??

dawa gani nzuri kwa makovu??

Tulip1005

Member
Joined
Mar 13, 2013
Posts
38
Reaction score
11
Hello friends!! Naomba ushauri kutoka kwenu.Nilipokuwa mdogo nlikuwa napatwa na vidonda nikila baadhi ya vyakula. Sasa baada ya kukua makovu yamebaki sehem za miguuni. Je? Ni dawa gani au kitu gani naweza kutumia ili kuyaondoa haya makovu kabisa??
 
Du na mimi natamani kujua hiyo dawa,lakini angekuwa bado ana kidonda dawa ya kuua makovu kabla ya kidonda kupona ni asali mbichi ya ukweli sio zile zinazochanganywa na maji
 
Mkuu.@Tulip1005 kabla hujaja hapa kupata ushauri ilikuwa bora uende Hospitali kumuona Daktari ili apate kukuangalia hayo makovu kuliko kuja hapa na kueleza matatizo yako wakati hujafika hata hospitali kumuona Daktari.Kamuone Daktari akikupa dawa bado hujapona ndio uje hapa kuleta matatizo yako na utaweza kupata ushauri wetu itakuwa jambo bora zaidi mkuu kufanya hivyo.
 
Back
Top Bottom