Dawa gani nzuri ya wadudu katika maharage?

Oh sorry nimechelewa kujibu

Dawa za wadudu wa mimea(insect side)

Unaweza kutumia Duduba 450 Ec
Au karate

Hapo utaua wadudu wote
Muda mwingine ukiitaji ushauri kuhusu kilimo nitafute pm nikupe ushauri maana ni Mtaalamu wa kilimo
 
Tumia moja Kati ya hizi

1. Thunder
2. Duduba
3. Ninja au karate

Namba 1 ukiikuta ipo good cuz inaua wadudu wa kutafuna na kufyonza (sucking insects) , sijui unanielewa?
 
Oh sorry nimechelewa kujibu

Dawa za wadudu wa mimea(insect side)

Unaweza kutumia Duduba 450 Ec
Au karate

Hapo utaua wadudu wote
Muda mwingine ukiitaji ushauri kuhusu kilimo nitafute pm nikupe ushauri maana ni Mtaalamu wa kilimo
mkuu dawa gani ya fungus wanaosababisha maharage kuoza mizizi baada ya wiki ya tatu toka kuota. kama una uelewa zaidi ya hawa fungus naomba elimu
 
Oh sorry nimechelewa kujibu

Dawa za wadudu wa mimea(insect side)

Unaweza kutumia Duduba 450 Ec
Au karate

Hapo utaua wadudu wote
Muda mwingine ukiitaji ushauri kuhusu kilimo nitafute pm nikupe ushauri maana ni Mtaalamu wa kilimo
Kwa nini unampeleka sirini?
Angekuwa na shida na pm si angewatafuta pm watu anaowajua. Mshauri hapa na wengine wajifunze acha ubinafsi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…