D deo paul555 JF-Expert Member Joined Oct 22, 2018 Posts 1,405 Reaction score 521 Jan 13, 2020 #1 Habari wadau, dawa ipi nzuri ya kuzuia magugu unaweza piga baada ya kupanda mpunga siku chache? Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wadau, dawa ipi nzuri ya kuzuia magugu unaweza piga baada ya kupanda mpunga siku chache? Sent using Jamii Forums mobile app
Vitalis Msungwite JF-Expert Member Joined May 11, 2014 Posts 3,292 Reaction score 7,867 Jan 31, 2020 #2 Tumia RILO R500 Inapigwa siku yatatu toka siku ya kupanda. Shamba lisiwe na maji liwe tope tu. Bei yake ni 35000 kwa Lita na hekta moja hutumia Lita 1.5 deo paul555 said: Habari wadau, dawa ipi nzuri ya kuzuia magugu unaweza piga baada ya kupanda mpunga siku chache? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand...
Tumia RILO R500 Inapigwa siku yatatu toka siku ya kupanda. Shamba lisiwe na maji liwe tope tu. Bei yake ni 35000 kwa Lita na hekta moja hutumia Lita 1.5 deo paul555 said: Habari wadau, dawa ipi nzuri ya kuzuia magugu unaweza piga baada ya kupanda mpunga siku chache? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand...
Konki kichaa Senior Member Joined May 18, 2018 Posts 102 Reaction score 74 Nov 2, 2021 #3 Bestomine 2,4 D Inaua majani Aina ya mboga mboga (dicotyledons)