Dawa ya kwanza mbona ushaijua...acha bia.Baridi ina mchango mkubwa wa kufanya shida ya mafua kuwa kubwa.Wakuu msaada,nilikua na mafua then sijatumia dawa na yakachelewa kupona na pia huwa nilkua napenga kwa nguvu na kulazimisha hadi nikapata kidonda puani,kwa sasa kidobda kimepona na mafua yamepungua kwa asilimia 70,nataka dawa gani nitumie ili niachane na swala hili la mafua mana kuna saa sometimes asubuhi,au mchana au usiku yanarud na kupotea au nikishakunywa bia 2/3 yanarudi,nipeni suluhisho la kuyatuliza kabisa
thanks,ngoja nijaribu hii ya maji na chumviDawa ya kwanza mbona ushaijua...acha bia.Baridi ina mchango mkubwa wa kufanya shida ya mafua kuwa kubwa,Tumia vinywaji vya moto mfano maji ya moto tia na chumvi kiasi ,unaweza kuyatumia kwa kunywa na pia kujisukutua endapo Mafua yatakuwa yameathiri koo,upande wa pua Tumia maji hayo kujikanda pua kwa kutumia kitambaa laini cha Pamba na dondoshea matone mawili kila tundu la pua baada ya zoezi hilo.
Dawa za hospital zipo nyingi tu;mfano ni Celestamine,cetrizine ,loratadine ,
Chloropheniramine etc.
ACHA BIA;KUNYWA JUIS YA LIMAOWakuu msaada,nilikua na mafua then sijatumia dawa na yakachelewa kupona na pia huwa nilkua napenga kwa nguvu na kulazimisha hadi nikapata kidonda puani,kwa sasa kidobda kimepona na mafua yamepungua kwa asilimia 70,nataka dawa gani nitumie ili niachane na swala hili la mafua mana kuna saa sometimes asubuhi,au mchana au usiku yanarud na kupotea au nikishakunywa bia 2/3 yanarudi,nipeni suluhisho la kuyatuliza kabisa