dawa hatari kutumia,soma zaidi,

Jamani, mbona mnatuzebeza hivyo? Kwani NIMR na TDFA wako nchi gani na chini ya Wizara gani? Ni kama mazingaombwe hivi!

hizo NIMR na TDFA zipo kwa masilahi ya wakubwa wala sio wananchi
 
wanatumaliza,
hasa dawa za kuondoa maumivu kweli ni mbaya sana
asante kwa huu uzi mkuu.
 
ndio hivo wapendwa
kuna watu wanapenda kunua dawa bila hata kupima au kushauriwa na daktari
ingekuwa vema kila mtu akawa na mmea wa alovera ktk bustani au hata ktk kibaraza chake
ukjisikia hovyo bora ukachemsha ukachanganya na asali kidogo ukanywa kama sio tatizo kubwa la kumhitaji daktari
 
nilisikia hii MES walii ban kwa sababu ya kuwa na carbon tetrachrolide, kwa hiyo watengenezaji wakaacha kuweka hiyo ingredient na iko shwari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…