Dawa hii inapatikana duka lipi la dawa baridi

Dawa hii inapatikana duka lipi la dawa baridi

cj21125

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2013
Posts
3,358
Reaction score
3,107
Samahani wadau. Kuna dawa inaitwa bromocriptine tab 2.5mg mwenye kujua inapatikana pharmacy ipi anijulishe maana nimeulizia kwenye pharmacy nyingi bila mafunikio. Asanteni.
 
aise nenda jd pharmacy mlimani city ila nenda na cheti cha daktari, utapewa hiyo dawa.....
 
mrangi kamaliza

ukitaka za kienyeji ni pm ugonjwa bei.maelewano

huko jd.fixd price
 
Back
Top Bottom