C cj21125 JF-Expert Member Joined May 12, 2013 Posts 3,358 Reaction score 3,107 Aug 24, 2014 #1 Samahani wadau. Kuna dawa inaitwa bromocriptine tab 2.5mg mwenye kujua inapatikana pharmacy ipi anijulishe maana nimeulizia kwenye pharmacy nyingi bila mafunikio. Asanteni.
Samahani wadau. Kuna dawa inaitwa bromocriptine tab 2.5mg mwenye kujua inapatikana pharmacy ipi anijulishe maana nimeulizia kwenye pharmacy nyingi bila mafunikio. Asanteni.
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 88,759 Reaction score 123,368 Aug 24, 2014 #2 aise nenda jd pharmacy mlimani city ila nenda na cheti cha daktari, utapewa hiyo dawa.....
Pdidy JF-Expert Member Joined Nov 22, 2007 Posts 57,951 Reaction score 32,619 Aug 24, 2014 #3 mrangi kamaliza ukitaka za kienyeji ni pm ugonjwa bei.maelewano huko jd.fixd price
I IKWETE JF-Expert Member Joined Dec 26, 2012 Posts 4,057 Reaction score 694 Aug 24, 2014 #4 Nakiete..