Ansah Miles
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 392
- 175
Wana jf kuna dawa ya kuchoma kwenye mkaa ni kwa ajili ya kuua mbu, ukweli ni kuwa iko effective kweli ukiichoma tu ule moshi ukitawanyika ndani ya nyumba hakuna mbu anayebaki hai, na mbu hawaonekani kwa siku 2 hadi 3.
Naomba kujuzwa kwa anayefahamu dawa hizi hazina madhara kwa afya,hii ndio picha ya box lake ,TFDA wanafahamu uwepo wa dawa hizi, karibuni wadau kwa maoni na ushauri.
Naomba kujuzwa kwa anayefahamu dawa hizi hazina madhara kwa afya,hii ndio picha ya box lake ,TFDA wanafahamu uwepo wa dawa hizi, karibuni wadau kwa maoni na ushauri.