Dawa hii ya mbu ina usalama?

Ansah Miles

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2011
Posts
392
Reaction score
175
Wana jf kuna dawa ya kuchoma kwenye mkaa ni kwa ajili ya kuua mbu, ukweli ni kuwa iko effective kweli ukiichoma tu ule moshi ukitawanyika ndani ya nyumba hakuna mbu anayebaki hai, na mbu hawaonekani kwa siku 2 hadi 3.

Naomba kujuzwa kwa anayefahamu dawa hizi hazina madhara kwa afya,hii ndio picha ya box lake ,TFDA wanafahamu uwepo wa dawa hizi, karibuni wadau kwa maoni na ushauri.
 

Attachments

  • 1430322627685.jpg
    73.3 KB · Views: 612
  • 1430322662215.jpg
    76.8 KB · Views: 451
Mbona unachozungumza na picha ulizoweka ni vitu viwlili tofauti, au mimi ndo sijaelewa?
 
Mbona unachozungumza na picha ulizoweka ni vitu viwlili tofauti, au mimi ndo sijaelewa?

Picha unazoziona ndio box la dawa hiyo ya kuchoma inatoa moshi na kuua mbu zinapatikana kwa wingi Kariakoo,
 
Hakuna kitu kisicho na madhara... kuna aina mbili za madhara hapa twaongelea madhara chanya na madhara hasi nafikir madhara chanya ushayaona sana mbu wafa na cku 2 hawaonekani sasa ili bidhaa iweze kuonesha madhara hasi ni mpaka ninyi watumiaji wa mwisho mje kulipoti shida utazopata baada ya matumizi ya muda mrefu. Bidhaa zinazotoa fumes kama hizo tunategemea baada ya miaka kadhaa ya kuwa exposed lazima uje na matatizo ya kifua kitaalamu tunaita COPD. So jihadhar namatumiz yasiyo ya laazima ya hizi bidhaa. Namna bora ya kuzuia mbu ni mechanical way... weka wire mesh diridhani, dhibiti mbu kupita mlangoni kirahis mwisho wa siku tumia chandarua ila ikitokea imeshindikana dawa kama za kuchoma utatumia kwa dharura na sio kama tabia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…