Nimefanya nae mapenzi akiwa ovulation lakini baada ya siku chache alinza kuugua...akaenda kupima akaambiwa homa aliyonayo ni kwasababu ya ulcers...hvo kapewa dawa zinaitwa anti acid, amoxylin n.k
Nauliza kuna uwezekano gan wa madawa hayo kuleta athar zozote kwake endapo itakua ana ujauzito?? Na athari zitakuwa zipi?