Dawa inahitajika!

Jagood

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2016
Posts
2,141
Reaction score
2,388
Habarini jf members, nakuja mbele zenu kuomba msaada wa dawa ya kupunguza au kutibu kabisa ulevi wa jamii forum, nimekua mtumwa wa kukesha jf haipiti nusu SAA sijaingia jf, hata nisipo toa post yoyote.
 
Ingia pale fb alaf andika Juma PM ni fala..
Utapata dawa tu
 
Leo sijui kunani. Wewe ni wa pili leo. Kuna mwenzio kaomba Maelekezo namna ya kufuta account yake!
 
dawa ni ndogo sana.....watukane ma mods wakupige ban ya maisha
 
Sijawai fikiria kutoingia Jf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…