mchagger
JF-Expert Member
- Oct 15, 2019
- 864
- 1,064
Naomba msaada kwa wale wafugaj wa hawa kuku tanbro na kroiler
Mwezi wa pili nilianza ufugaji huu kwa kununua kroiler 40 kwa tanbro 30 vifaranga wa wiki sasa changamoto ni mafua makali vifaranga wanaisha naomba msaada nitumie dawa ipi itayomaliza hili tatizo.