Dawa katika matunda na mboga inaweza kuwadhuru uzazi mtu: Wanaume ambao kula viwango vya juu na nusu

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
Dawa zinazo tiwa ndani ya matunda na mboga zinaweza kudhuru Mbegu za uzazi Kwa wanaume ambao wanao kula viwango vya juu vya Hayo Matunda na Mboga. Na kulinganisha na nusu manii kuhesabu ya watu waliokula angalau japo kidogo hayo matunda na mboga zenye Madawa.

Pesticide in fruit and veg could harm man's fertility: Men who eat high levels have half the sperm count of those who ate the least



  • Men eating fruit and veg with high pesticide residue have low sperm counts
  • Those with most residue have half as much semen as others, says study
  • Total amount of fruit and vegetables eaten was not linked to sperm quality
Pesticides in fruit and vegetables may lead to lower sperm counts of poorer quality, warn researchers.
Men who ate the most fruit and vegetables with high levels of pesticide residue had half the sperm count of men consuming the least.
A new US study also shows a drop of one-third in normally-formed sperm among men consuming most pesticide residue.
But the total amount of fruit and vegetables eaten was not linked to changes in measurements of semen quality in the group overall.


+3
Pesticides in fruit and vegetables may lead to lower sperm counts of poorer quality, warn researchers (file picture)

Jorge Chavarro, assistant professor of nutrition and epidemiology at the Harvard T.H. Chan School of Public Health in Boston, said ‘These findings should not discourage the consumption of fruit and vegetables in general.
‘In fact, we found that total intake of fruit and vegetables was completely unrelated to semen quality.
‘This suggests that implementing strategies specifically targeted at avoiding pesticide residues, such as consuming organically-grown produce or avoiding produce known to have large amounts of residues, may be the way to go.'
Previous studies have shown occupational exposure to pesticides might affect semen quality.


Estimates suggest around 30 per cent of men in couples seeking IVF treatment are subfertile, and two per cent are ‘totally' infertile, while some studies show dramatic falls in average sperm counts.
Under NHS guidelines, GPs are supposed to warn men diagnosed with infertility of the dangers of alcohol, tobacco and recreational drugs.
Infertile men are also urged to avoid being overweight and not to wear tight underwear to improve sperm quality.
In the latest study researchers analysed 338 semen samples from 155 men attending a fertility centre between 2007-2012.


+3
Men who ate the most fruit and vegetables with high levels of pesticide residue had half the sperm count of men consuming the least (pesticide spraying pictured)

The men's diet was assessed using a food frequency questionnaire, and they were asked how often they consumed how many portions of fruit and vegetables.
The fruit and vegetables were classified as high, moderate or low in pesticide residues based on data from the annual United States Department of Agriculture Pesticide Data Program.
Fruit or vegetables low in pesticide residues included peas, beans, grapefruit and onions. Those with high residues included peppers, spinach, strawberries, apples and pears.
The researchers divided the men into four groups, ranging from those who ate the greatest amount of fruit and vegetables high in pesticides residues (1.5 servings or more a day) to those who ate the least amount (less than half a serving).
Men with the highest intake of pesticide-heavy fruit and vegetables had an average total sperm count of 86million sperm compared to men eating least, who had an average of 171million sperm – a 49 per cent reduction.
The amount of normally formed sperm was an average of 7.5 per cent in men with the lowest intake and 5.1 per cent in the men with the highest intake – a drop of 32 per cent.


+3
Strawberries were among the fruit and vegetables found to have with high residues of pesticides, as well as peppers, spinach, apples and pears

The study is published online today in the Human Reproduction journal.
The researchers write: ‘To our knowledge, this is the first report on the consumption of fruits and vegetables with high levels of pesticide residue in relation to semen quality.
‘These findings suggest that exposure to pesticides used in agricultural production through diet may be sufficient to affect spermatogenesis in humans.'
Professor Allan Pacey, Professor of Andrology at the University of Sheffield, said ‘This is a very interesting paper that raises the possibility that pesticide residues in our food may be a contributory factor in male infertility, at least in some men.
‘The idea has been raised before, but to my knowledge this is the first paper that has investigated this question in a systematic way.'
However, he said the study had limitations and shouldn't discourage men from eating their daily quota of fresh fruit and vegetables.
‘There is also no evidence at present that switching to organic fruit and vegetables will improve semen quality, although it will obviously do no harm.
‘But I hope that this paper will encourage other studies to take place in this area, so that we might be able to answer the question once and for all,' he added.
Total consumption of fruit and vegetables was not linked to semen quality.
The link was with the greatest intake of the type of fruit and vegetables ranked as having ‘high' residues of pesticides applied during the growing season to stave off insects and fungal attacks. Pesticide in fruit and veg could harm man's fertility | Daily Mail Online

USHAURI WANGU:

Wanaume:Tujihadhari na Matunda na Mboga za Majani zinazo tiwa Sumu ukitumia kwa wingi kula huenda ukakosa Mbegu Uzazi. Kuliko Mwanamme anaye kula kwa uchache Mboga za Majanina Matunda madhara atakayo pata ni madogo tofauti na yule anaye kula Mboga za Majani na Matunda kwa wingi.
 
Yaa hivi vitu ni vyakuangalia sana hasa ma apple unakuta apple liko gengeni siku tatu haliaribiki ni madawa tu wanaweka inabidi watu wapate elimu sio tu matunda na mboga hata hivi vyakula vya makopo kama nyanya na vinginevyo wengine wanaona ni urais wa maisha but ni kansa tu wanatafuta . MziziMkavu asante
 
Last edited by a moderator:

Each day, we eat an average of 346g-worth of fruit and veg, below the Americans, Irish and the 400g threshold recommended by the World Health Organisation.


Hayo ndio Matunda na mboga za majani ya ulaya hakuna mihogo wala kisamvu,wala mbaazi. Kuna majani ya sukuma wiki,mchicha upo kabichi ipo mboga ya matembele pia ipo.
 
Ukiwa nje ya nchi nadhani ni vyema ukanunua matunda au mboga kwenye open market angalau zinatoka kwa wakulima binafsi that means less madawa na kama utanunua super market chukua frozen fruits hasa strawberies au kama unauwezo tafuta organic fruits
 
Ukiliona Tunda la Apple lipo zaidi ya siku 3 na bado lipo zima ujuwe hilo tunda ndani yake kuna madawa Usipende kununuwa Matunda au mboga kwenye Maduka ya Super Markert vitu vyake vingini vyakula vya Feki super Market yoyote ile nunuwa Sokoni tena Matunda au mboga za majani yawe tena ni fresh. Ndio maana Tanzania kuna maradhi ya Kansa mengi au maradhi ya figo yamekuwa ni mengi kwa sababu ya vyakula Feki vipo vingi Madukani.

ANGALIA LIST YA CHINI VYAKULA FEKI HAVIFAI KULIWA KWA AFYA YA BINADAMU VINA MADHARA MAKUBWA.


 

Attachments

  • 25soft_drinks_narrowweb__300x3540.jpg
    20 KB · Views: 231
  • junk foods.jpg
    19.2 KB · Views: 212
  • junk-food-blog.jpg
    37.8 KB · Views: 191
  • vyakula feki.jpg
    185.3 KB · Views: 304
  • feki vyakula.jpg
    30.7 KB · Views: 264
  • feki.jpg
    122.3 KB · Views: 242
  • Tropikana.jpg
    40.1 KB · Views: 653
Ukiwa nje ya nchi nadhani ni vyema ukanunua matunda au mboga kwenye open market angalau zinatoka kwa wakulima binafsi that means less madawa na kama utanunua super market chukua frozen fruits hasa strawberies au kama unauwezo tafuta organic fruits
Huku nilipo hakuna mbolea ya Mavi ya ng'ombe Strawberies ukila inanukia harufu ya Maavi ya binadamu ndio wanaotumia kama ni mbolea yake tangu nilipo ona hiyo harufu sijanunuwa tena haya matunda ya Strawberies.

 
Kitu usichokijua kuhusu ‘juisi ya boksi'





BILA shaka unapoingia dukani au supermarket kununua juisi ya box, huwa unaamini kuwa iliyoandikwa ‘100% Puer Juice' huwa ni halisi na ndiyo bora. Kwa kukuongezea imani zaidi, watengenezaji wameweka na neno ‘No Sugar Added' au ‘No preservatives' (haikuongezwa sukari wala dawa)!


Kuanzia leo elewa kwamba hayo ni maneno ya kibiashara tu, ukweli hauko hivyo! Umewahi kujiuliza kwa nini maboksi yote ya juisi hiyo yawe na ladha moja tu. Sote tunajua kwamba, kama ni juisi ya machungwa kwa mfano, ukila machungwa matano, yote hayawezi kuwa na ladha moja!

Lakini kwa juisi za maboksi imewezekana kuwa na ladha moja kwa sababu za kikemia zinazofanywa kiwandani wakati wa kuhifadhi juisi hiyo ambayo huweza kukaa kwa muda mrefu bila kuharibika. Hivyo siyo kweli kwamba unachokunywa ni asilimia 100 ‘pure'.

NINI KINACHOTOKEA?
Ni kweli kwamba ‘100% pure juice' hutokana na matunda halisi kama vile machungwa, mananasi, embe, n.k, lakini mchakato wake wa kukamua, kuhifadhi na hatimaye kumfikishia mlaji ndiyo wenye dosari za kiafya.

Kinachofanyika baada ya tunda kukamuliwa ni kuhifadhi juisi yake kwenye matanki maalumu makubwa ya viwandani. Ili juisi hiyo iweze kukaa kwa muda mrefu bila kuharibika, wanalazimika kuondoa hewa yake asilia ya oksijeni (mchakato unajulikana kitaalamu kama ‘deaeration'), kitendo ambacho huifanya juisi hiyo kupoteza ladha yake ya asili.

NINI HUFANYIKA KUREJESHA LADHA YA MATUNDA?
Kwa mujibu wa mtandao wa ‘Food Renegade' wa nchini Marekani unaojishughulisha na masuala ya lishe na kuhimiza ulaji wa vyakula asilia, makampuni yanayozalisha juisi hukodisha makampuni yenye ujuzi wa kutengeneza ladha mbalimbali za matunda na manukato.

Makampuni hayo husimamia utengenezaji wa maboksi ya kuhifadhia juisi ambayo huwekwa ladha na harufu ya matunda husika. Inaelezwa zaidi kuwa makampuni hayo ndiyo yanayotengeneza pia manukato (perfumes) maarufu duniani, kama vile Dior na Calvin Klein.

Lakini cha kushangaza, virutubisho vinavyotumika kutengenezea ladha hiyo bandia haviorodheshwi kwenye boksi na wenyewe wanajitetea kwa kusema kuwa ladha hiyo haiwezi kuorodheshwa kama sehemu ya ‘ingredients' kwa sababu hutengenezwa kutokana na tunda lenyewe, ingawa wataalamu wengine wanadai utengenezaji wake huhusisha kemikali zingine ambazo siyo za asili.

Mtaalamu mwingine kutoka Taasisi ya Sera ya Kilimo na Biashara nchini Marekani, Bi. Alissa Hamilton J. D (PhD), ameelezea kwa undani jinsi juisi ya machungwa inavyotengenezwa kiwandani. Undani huo umo kwenye kitabu chake cha; ‘Squeezed: What You Don't Know About Orange Juice'. (Kitu usichokijua kuhusu juisi ya machungwa).

Katika kitabu hicho, mwanadada huyo anasema kuwa ni muhimu kila binadamu kujua kwa undani jinsi chakula chake kinavyoandaliwa, kwa sababu maelezo au lebo inayowekwa kwenye boksi, siyo tu haisemi ukweli, bali pia hailezi ukweli wote.

Anasema kwamba, kama kweli ‘pure orange juice' tunayokunywa ilipatikana baada ya kukamuliwa chungwa peke yake na kuwekwa kwenye boksi, basi bila shaka ladha ingekuwa tofauti kati ya boksi moja na lingine, kwa sababu chungwa moja linatofautiana ladha na chungwa lingine. – mengine matamu, mengine makali.

Mbali na hilo, kila kampuni inayotengeneza juisi ya machungwa ina ladha yake. Juisi ya machungwa inayotengenezwa na kampuni ya Tropicana ina ladha tofauti na juisi ya machungwa inayotengenezwa na kampuni ya Ceres, sababu ya tofauti hiyo inaacha maswali mengi zaidi kuliko majibu. chanzo.
www.globalpublishers.info
 
ni kweli kanisa na wataalam wanasema ukishindwa kabisa kwenda na natural foods basi ukienda supermarket chukua juice au tunda ambalo ni frozen badala ya iliyopo kwenye shelf. kumbuka iuliyo kwenye shelf ina presevatives zaidi kuliko iliyowekwa kwenye fridge. imewekwa kwenye fridge wwakijua itaharibika haraka ikikaa room temp
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…