Dawa kumi ambazo mama mjamzito hatakiwi kutumia

Mkuu na wewe naomba ufanye masahihisho kidogo hapo metronidazole! Sio antiprotozoa tu,pia ni antibacterial kwa maana anaerobes.

Halafu kwa mtoa mada,naomba afanye masahihisho kidogo pia:
Hakuna dawa zinazoitwa ciproflaxin, doxycline na furesamide!
 
Yec mkuu nmekupata vzur metronidazole iko kweny kundi la ant protozoa drugs.
 
Mkuu na wewe naomba ufanye masahihisho kidogo hapo metronidazole! Sio antiprotozoa tu,pia ni antibacterial kwa maana anaerobes.

Halafu kwa mtoa mada,naomba afanye masahihisho kidogo pia:
Hakuna dawa zinazoitwa ciproflaxin, doxycline na furesamide!
umeeleweka ila ata aliyesema ant protozoa yuko right.

Na kuhusu izo dawa kama nlivokwambia nimeshare tu cwez kuanza ku edit kila neno lilokosewa my aim ni kuwakumbusha marafik/dada zetu
 
Kwa hiyo anaerobic bacteria metronidazole haitumiki siku hizi,huh?
Yaonekana ujanipata mkuu

Nimekwambia ata akisema anti protozoa ajakosea kwa sababu

Metronidazole/Flagyl iyo ni anti biotic, vile vile ni anti protozoa ndo mana ina effect kwenye disease kama amoebiasis(drug of choice), Giardiasis, and other protozoa diseases.
 
pia naomba mnifahamishe na dawa za kutibu pumu! hizo predstone (sina hakika na spellings)! je hazina madhara kwa mjamzito?/au dawa yyt ya pumu(athma)
 
Asante, ubarikiwe na Bwana.
 
Hili bandiko ni zuri tena sana.
Lkn likitumiwa kinyume tuwe tayari kushuhudia bortion nyingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…