Dawa kumi ambazo mama mjamzito hatakiwi kutumia

Humu JF kuna watu wana majina ya Dawa ( Gentamycine, Aspirin, Sonaderm ...etc) naomba kama wanaweza kutufichulia kidogo siri/sababu za kujiita majina hayo!
 
Asante mkuu

Dawa gani mjamzito anaweza kutumia for Yeast infection?
 
Asante mkuu

Dawa gani mjamzito anaweza kutumia for Yeast infection?

Yeast/Fungal infection in pregnancy (Candidiasis) unaweza kutumia Clotrinazole cream (ya kupaka ) EPUKA KABISA zile dawa za magonjwa ya ngozi zenye steroids. Otherwise, kama maambukizi ni makali, onana na Dr kwa vipimo zaidi na ushauri wa dawa mbadala. (In case itahitajika dawa za kuingiza PV)
 
Asante mkuu

Dawa gani mjamzito anaweza kutumia for Yeast infection?
Usipo pona hayo maradhi yako kwa dawa za Hospitali. Nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona maradhi yako.

Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu.
 
mtoa mada somo ni zuri tena umesaidia ata kwa medical student kujua vzr tena kwa kiswahl
 
Vipi na dawa hii ARTEQUINE inaweza kutumika kwa muda wowote au ni baada ya miezi 3?
 
Safi saana Mkuu
Ubarikiwe sana kwa darasa
 
Shukrani sana mkuu niliwahi kuwa mhanga wa kupoteza Ujauzito wa miezi saba baada ya kunywa Doxycline
Leo nmepata ufahamu zaidi
 
Shukrani sana mkuu niliwahi kuwa mhanga wa kupoteza Ujauzito wa miezi saba baada ya kunywa Doxycline
Leo nmepata ufahamu zaidi
Pole dear,ni ajabu kuna madaktari huandikia wajawazito hz dawa
 
Ahsante mamy, ni dokta aliniandikia kabisaaaaa sijui alidhani nina kitambi sijui aliwaza nn
Ni muhimu sana kumueleza dokta hali yako yoyote ya kiafya,magonjwa,ujauzito,dawa unazotumia kabla hajakupa dawa nyingine....hakika dawa ni sumu
 
Ahsante mamy, ni dokta aliniandikia kabisaaaaa sijui alidhani nina kitambi sijui aliwaza nn

Baada ya kuharibikiwa mimba, kadi iliyokuwa imeandikwa hizo dawa ulikuwa nayo? Ulichukua hatua gani?
Kuna haki zako ambazo hiyo kadi ndio ushahidi wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…