Dawa kumi ambazo mama mjamzito hatakiwi kutumia

Baada ya kuharibikiwa mimba, kadi iliyokuwa imeandikwa hizo dawa ulikuwa nayo? Ulichukua hatua gani?
Kuna haki zako ambazo hiyo kadi ndio ushahidi wako
Sikufanya kitu kiukweli ila nlirudi nkamwambia dokta umeua mtt wangu kwa Sabab gani mtt alitoka upande mmoja alikuwa ameungua mweusi kabisaa
 
Ngoja nisubscribe kabisa

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Gudi gudi

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 
Kila mtu na field yake. Mbona hujataja mwarobaini na mjohoro? Cloroquine?

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Asante kwa taarifa. Yaonekana ni mjuzi mzuri. Unaweza kutufahamisha kama hicho kilichoaandikwa kina usahihi. Na ni kipi kipya unachoweza kuongeza kuhusu dawa zinazomdhuru mjamzito?
 
Asante kwa taarifa. Yaonekana ni mjuzi mzuri. Unaweza kutufahamisha kama hicho kilichoaandikwa kina usahihi. Na ni kipi kipya unachoweza kuongeza kuhusu dawa zinazomdhuru mjamzito?
Umenena
 
I
Yes broda Kavulata, it acts as an antibacteria only when in combination with another drug (double or triple therapy). Lakini hapa haimaanishi yenyewe itaenda kuua bacteria bali itaua Protozoa wanaoweza kuwepo kama co infection
Metronidazole is also effective against anaerobic bacteria.
 
Furesamide = furosemide

Mesoprostol = misoprostol
Mkuu na wewe naomba ufanye masahihisho kidogo hapo metronidazole! Sio antiprotozoa tu,pia ni antibacterial kwa maana anaerobes.

Halafu kwa mtoa mada,naomba afanye masahihisho kidogo pia:
Hakuna dawa zinazoitwa ciproflaxin, doxycline na furesamide!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…