@gfsonwin thank you Teacher, your always welcome.MziziMkavu umesema vizuri sana, juu ya hawa staphylococci ila nafikiri kwakuwa watanzania wengi huwa hawana ujuzi wa hizi scientific names basi ni bora muda mwingine tuwe tunatumia common names. Mathalani hali ya kuwa na painful skin lension, red, hot and which gives out puss mwanabiolojia ataelewa ila mwingine hataweza kuunganisha vizuri so use its common name kwamba n majipu au sijui jipu likiwa moja. Hayo ni kwa mujibu wangu tu and am sorry kama mwalimu nitakuwa nimeingilia kazi ya daktari
@gfsonwin thank you Teacher, your always welcome.