MWANDENDEULE JF-Expert Member Joined May 24, 2015 Posts 4,099 Reaction score 7,466 Apr 1, 2018 #1 Naomba msaada wa aina ya dawa nzuri kwa ajili ya mtu mwenye pinworms-wanajitokeza kwenye haja baada ya kujisaidia
Naomba msaada wa aina ya dawa nzuri kwa ajili ya mtu mwenye pinworms-wanajitokeza kwenye haja baada ya kujisaidia
Aalliyah Gulam Heidar Senior Member Joined Oct 3, 2017 Posts 117 Reaction score 155 Apr 1, 2018 #2 Albendazole au Mebendazole vidonge wengi huzitumia.
Crumpy Crumper JF-Expert Member Joined Dec 20, 2016 Posts 2,348 Reaction score 3,305 Apr 1, 2018 #3 Ungesema MINYOO tu mkuu...