Dawa kwa akina mama/dada wanaotaka kupata watoto.

Dawa kwa akina mama/dada wanaotaka kupata watoto.

Kashaija

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2008
Posts
255
Reaction score
62
Kuna tatizo kubwa kwa akina mama/dada ambao wanao wenzi wao au wameolewa na wanahangaika sana kupata watoto bila mafanikio, jambo ambalo linatishia hata ndoa zao.

kama wewe ni mmojawapo ambaye unasumbuliwa na tatizo hili basi ni- PM nitakupatia ufumbuzi.
 
Na ambao ni tasa nao utawasaidiaje?Toa specific za unazoweza kuwasaidia ili wahusika wajitokeze!
 
Na pia kumbuka kuwa kuna wanawake wanadhani kuwa wao ndiyo tasa kumbe shida ni waume zao!! do you have cure for those types of men?
 
Duh,sasa sisi ambao hata hatujijui kama tutaweza kubeba mimba au vipi tufanyeje?au niku-pm unipe contact zako ili nikibahatika kuolewa nikapata hili tatizo nikuambie???am serious,nisije kukupoteza bure??
 
Kwa nini waku PM si weka hapa wazi wengi wafaidike.
 
Mi nafikiri huu ulingo kwa kwa manufaa ya watu wote, sasa kama unahitaji kutoa msaada kwa nini tuku-PM, mi nahijati mtoto naomba dawa aisee...:mimba::mimba::bathbaby::bathbaby:
 
Duh,sasa sisi ambao hata hatujijui kama tutaweza kubeba mimba au vipi tufanyeje?au niku-pm unipe contact zako ili nikibahatika kuolewa nikapata hili tatizo nikuambie???am serious,nisije kukupoteza bure??

we mtafute alafu atakutest kama unaweza kuzaa
 
Mi nafikiri huu ulingo kwa kwa manufaa ya watu wote, sasa kama unahitaji kutoa msaada kwa nini tuku-PM, mi nahijati mtoto naomba dawa aisee...:mimba::mimba::bathbaby::bathbaby:

kama unaitaji mtt kweli mtafute anajua kulenga kweli wiki tuu imejibu
 
nitawatumia next time numba ya mtu ambaehuwatibu watu matatizo hayo wanawake kwa wanaume tena bila malipo. ingawa huwa naona watu wanaenda kumshukuru ila siyo kumpelekea pesa. pesa hapokei anasema pesa imeandikwa ``fedha halali kwa malipo ya shilingi...................., yeye anasema hiyo zawadi siyo malipo halali, kwakuwa siyo lazima kumzawadia:amen:
 
Back
Top Bottom