Ufumbuzi wa aina gani hadi PM!
Duh,sasa sisi ambao hata hatujijui kama tutaweza kubeba mimba au vipi tufanyeje?au niku-pm unipe contact zako ili nikibahatika kuolewa nikapata hili tatizo nikuambie???am serious,nisije kukupoteza bure??
Mi nafikiri huu ulingo kwa kwa manufaa ya watu wote, sasa kama unahitaji kutoa msaada kwa nini tuku-PM, mi nahijati mtoto naomba dawa aisee...:mimba::mimba::bathbaby::bathbaby: